Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Habari zilizopo mpaka hivi sasa ni kwamba aliyewaua askari 5 kwa Risasi huko Texas, USA alikuwa ni vetaran ktk Afghanstani, yaani alikuwa ni Mwanajeshi mstaafu aliyekuwa anaitumikia nchi yake huko Afghanstani, sasa nafikiri kilichomuuimiza sana Askari Johnson mpaka kufikia uamuzi alioufikia ndiyo kile kile alichokisema W.E.B Du Bois ambaye alikataa kwenda kuipigania nchi yake huko Vietnam na Du Bois alipoulizwa kwa nini alikataa kwenda kuipigania USA alisema kwamba hakuna Mvietnam aliyewahi kumuita Nigga bali anaitwa Nigga ndani ya USA hivyo basi yeye kama mtu mweusi hana Ugomvi na Vietnam vile vile kwa Mveterani Johnson amekwenda kuilinda USA amehatarisha maisha yake kwa ajili ya USA anarudi nyumbani USA raia wa USA anapigwa risasi na mwajiriwa wa Serikali ya USA at close range kwa sababu tu ametokea kuwa na rangi nyeusi yaani rangi ya Johnson, Du Boiss &Co. nafikiri maswali ya Johnson yalikosa majibu ndiyo maana akamaamua kufanya alivyofanya ...
Inanikumbusha Oklahoma City Bombing na Timothy Mcveih naye pia alikuwa ni Veteran wa kivita ambaye alirudi nyumbani kwao USA na kukuta yale yote ambayo nchi yake ilimtuma kuyapigania na kuhatarisha maisha yake ndiyo ambayo USA inawafanyia Raia wake wake ndani ya USA kwa hasira akaamua kupiga Bomu USA!
,,Mshahara wa dhambi ni Mauti"

Warumi 6:23
Oklahoma City Bombing - Timothy Mcveih!
Timothy Mcveih!
Micah x. Johnson!
Sajenti Johnson!