Hili suala linanitesa sana moyoni. Natamani ningekuwa Home

Nina kagari ambako naomba nifahamishwe kama kuna dealers wake hapa TZ. Ni Jeep ya mwaka 2019 nataka kuifanyia service.

Sasa waswas wangu isije ikaguswa guswa na hawa mafundi ambao hawajasomea.binafsi napenda nipate fundi mkuu mwenye doctorate ya mechanics au au hata masters then wasaidizi ndo wawe na degree.

Haya magari ya ulaya na marekani hayataki kabisa ubabaifu.nami sitaki kuonekana naringa.maana kuna siku nlimwambia fundi mmoja kituo cha mafuta aongeze upepo alisumbuka sana dk 40 kujaza tu upepo.nlipomaliza nikamlipa 25,000 yake nikaondoka.

Toka siku hiyo nikasema nitakuwa naenda kwa dealers tu hata kujaza upepo. Sasa kwa hapa TZ dealers wa JEEP wanapatikana wapi ndugu zanguni? Au ndo nipark tu gari?
Misifa tu. Kwani hiyo gari ina doctorate. Haya bhana, ipeleke UDSM kwa maprofesa waitengeneze. JF imejipambanua kama nyumba ya watu wanafikiri
 
Umechema Jeep ya 2019 au?
tapatalk_1591593969624.jpg
 
Nina kagari ambako naomba nifahamishwe kama kuna dealers wake hapa TZ. Ni Jeep ya mwaka 2019 nataka kuifanyia service.

Sasa waswas wangu isije ikaguswa guswa na hawa mafundi ambao hawajasomea.binafsi napenda nipate fundi mkuu mwenye doctorate ya mechanics au au hata masters then wasaidizi ndo wawe na degree.

Haya magari ya ulaya na marekani hayataki kabisa ubabaifu.nami sitaki kuonekana naringa.maana kuna siku nlimwambia fundi mmoja kituo cha mafuta aongeze upepo alisumbuka sana dk 40 kujaza tu upepo.nlipomaliza nikamlipa 25,000 yake nikaondoka.

Toka siku hiyo nikasema nitakuwa naenda kwa dealers tu hata kujaza upepo. Sasa kwa hapa TZ dealers wa JEEP wanapatikana wapi ndugu zanguni? Au ndo nipark tu gari?
hahahaha Kujaza upepo 25000/ ? baada ya kuangalia ili nibid niisom avatar , nikkutana na jina la blionea mkuu
 
Misifa tu. Kwani hiyo gari ina doctorate. Haya bhana, ipeleke UDSM kwa maprofesa waitengeneze. JF imejipambanua kama nyumba ya watu wanafikiri ila kuna watu wana mada za kijinga kama hawajawahi kukaa madarasani
Na wewe mbona unapanick?
 
Halafu wakuu ujue nilianza kusoma bila kuangakia ID ya nani nimefika aya ya pili nikaamua nicheki id maana.....kumbe ni mwenyewe
 
Nina kagari ambako naomba nifahamishwe kama kuna dealers wake hapa TZ. Ni Jeep ya mwaka 2019 nataka kuifanyia service.

Sasa waswas wangu isije ikaguswa guswa na hawa mafundi ambao hawajasomea.binafsi napenda nipate fundi mkuu mwenye doctorate ya mechanics au au hata masters then wasaidizi ndo wawe na degree.

Haya magari ya ulaya na marekani hayataki kabisa ubabaifu.nami sitaki kuonekana naringa.maana kuna siku nlimwambia fundi mmoja kituo cha mafuta aongeze upepo alisumbuka sana dk 40 kujaza tu upepo.nlipomaliza nikamlipa 25,000 yake nikaondoka.

Toka siku hiyo nikasema nitakuwa naenda kwa dealers tu hata kujaza upepo. Sasa kwa hapa TZ dealers wa JEEP wanapatikana wapi ndugu zanguni? Au ndo nipark tu gari?
Hatimaye karudi tena...
 
Back
Top Bottom