Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,004
Ndugu wana JF kuna jambo linatatiza linalomhusu kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni ndugu Mbowe kuhusu hatua yake ya kutumia rasilimali pesa za chama kulipa wanasheria ili mahakama impe haki kutokuhojiwa polisi kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya. Ikumbukwe juzi mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetupilia mbali ombi lake, nini hasa mantiki ya hili? atakata rufaa?
- Kama yeye anatumia mahakama ili asihojiwe na mamlaka mbona katiba ya chadema inazuia wanachama kupata haki mahakamani?
- Kwanini anazuia asihojiwe, kuna nini kimejificha?
- Hivi huyu Chadema ingeshika dola nchi si ingeendeshwa kiimla?