Hili Shirika la TANESCO liuzwe!!!

manto

Member
Mar 9, 2016
56
44
Kwakweli wakate umeme siku zote hizo lakini sio leo siku ya Christmass!! Sasa wameniharibia ratiba yote ya sikukuu.Hata pasi unapigaje sasa kwenda church. Aarrgggh!!!
 
Back
Top Bottom