Hayo uliyotendwa sahau na samehe uyaache yaende huwezi kuendelea mbele huku kila saa unaangalia ulipotoka, yameshapita hayana nafasi
Jifunze kila linalokutokea ni mitihani tu na hakuna linalodum milele,
Pia nahisi unahitaji councelling mkuu ikuweke sawa kiakili, ujue itafikia mahali utahitaji kua na family, au hujajiwekea mawazo hayo? Na je umejipangaje kuhusu hilo??
Nafsi zetu zimeumbiwa matamanio, kupenda na kusahau
Madame S