Hili ni gari gani!

Hilo halina jina, ila tukiliita Dungu inafaa.
 
Ooyooo hii gari ni bomba ni kama toy na hii inamfaa Rais na mfadhili wetu wa kilabu ya mpira yaani yusufu manni kwa yeye ni safi na siku ya mafuriko anaituliza kule ostabey kiangazi ndio anakuja nayo kilabuni
 
Hii inaitwa CD car,sijui linaendeshwa kwa rimoti lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…