Hili ndilo linalompaisha Lowassa kuliko Magufuli

Kapigwa mwangosi ad kafytuliwa jibomu nakusambaratika sembuse sisi!!!!!!
Haki itasimama no matter what
 

Magufuli atachaguliwa kijijini kwako labda na bibi yako na babu yako
Kwa hali ilivyo vijiji vyote wanamfahamu Lowassa usiwe mbishi kama tete na upepo huyu Lowassa ni balaa anafahamika vilivyo kama unabisha ni kwa sababu tu Umekula yamini ya Lumumba na itakutesa sana mkuu
Tunapiga kampeni mjini na vijijini kumkataa CCCM- Magufuli
Magufuli anajulikana kwa wasanii na kwa wajumbe wa NEC-ccm tu
Magufuli is out of the race for presidency

Tukutane oktoba 25/2015
 

Udidhani mafuriko kwenye mikutano ya kampeni ni ya wafuasi wa wagombea tu. Hata wapinzani nao wamo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…