Jamani viashiria vingi katika kampeini hizi, vinampanafasi ndogo Magufuli. Ebu tupitie hivi vichache:
-Haiba/Personality: Vijana hawavutiwi naye; wazeehawamwoni kama mwenzao; wanawake wanamwona mkatili kwa kuwa hafuatani na mkewe.
-Elimu: Wasomi hawavutiwi kwa sababu hoja zake zimekaakikawaida kuliko kisomi; mikakati yake imekaa ki-Ninja kuliko kistaarabu.
-Wafanya biashara: Anawatisha na kuwaona ni maadui wauchumi badala ya kuwaona kama marafiki wa uchumi
-Wanafunzi wa vyuo vikuu: Anawaona ni tatizo badala yakuona mfumo ni tatizo.
-Wafanyakazi: Anawaona ni tatizo; wakati huo huo anaonahaki zao kuwa ni fadhila.
Wana CCM na chama chao: Anaona tatizo ni Kikwete naviongozi wenzake ndo maana anaona suluhu ya chama hicho ni MAGUFULI.
MADHAIFUYA NYONGEZA:
-Anakaguamadaraja akiwa kwenye kampeini
-Analindwana polisi kana kwamba ameishakuwa rais
-Anatumiataswira/vibonzo hatarishi - mathalani: kupiga push up kunamfanya awe body guardwa rais badala ya kuwa rais! Kuruka toka juu ya gari kunamfanya aonekane nimpiga debe wa mgombea wa UKAWA. Tumbili aliyefundishwa vizuri anaweza kupigapush up; je apewe urais?
Wikitatu zilizobaki haziwezi kubadilisha sana upepo huu mbaya kwa Magufuli.
Magufuli hawezi kuchaguliwa kuwa rais kwa lipi sasa kwa mfano?labda akitangazwa lakini sio eti watanzania wamemchagua,kwamfano mimi nikiachilia siasa siwezi hanamvutokwangu,manenoyake ya kejeli,anafanyavitu raf,lafudhi yake ndionachukia balaa ivi kasoma wapi yule?Jidanganyeni na --------- wenu. Subirini tarehe 25 ndipo mtakapojua Magufuli anawatu kiasi gani. Sahauni na muondoe mawazo ya kumshinda Magufuli hata siku moja haitatokea. Day Dreams.
Magufuli hawezi kuchaguliwa kuwa rais kwa lipi sasa kwa mfano?labda akitangazwa lakini sio eti watanzania wamemchagua,kwamfano mimi nikiachilia siasa siwezi hanamvutokwangu,manenoyake ya kejeli,anafanyavitu raf,lafudhi yake ndionachukia balaa ivi kasoma wapi yule?
We real know that LOWASA ni kiongozi tishio ndio maana watu wote waliobaki ccm wanampiga mawe. Ivi kwann wanasahau kuwa ana uwezo wa kuongea mabaya ya serikali maana alikuwa huko? Ccm mufanye kampeni kama lowasa hawatukani na hana muda na nyie. Mnamjuwa ndo maana mnateseka muda wote kusema fisadi.
Kwa akili ndogo Jiulize kwann hasemi lowasa mbaya alafu ukuje na maelezo mazur
Jamani viashiria vingi katika kampeini hizi, vinampanafasi ndogo Magufuli. Ebu tupitie hivi vichache:
-Haiba/Personality: Vijana hawavutiwi naye; wazeehawamwoni kama mwenzao; wanawake wanamwona mkatili kwa kuwa hafuatani na mkewe.
-Elimu: Wasomi hawavutiwi kwa sababu hoja zake zimekaakikawaida kuliko kisomi; mikakati yake imekaa ki-Ninja kuliko kistaarabu.
-Wafanya biashara: Anawatisha na kuwaona ni maadui wauchumi badala ya kuwaona kama marafiki wa uchumi
-Wanafunzi wa vyuo vikuu: Anawaona ni tatizo badala yakuona mfumo ni tatizo.
-Wafanyakazi: Anawaona ni tatizo; wakati huo huo anaonahaki zao kuwa ni fadhila.
Wana CCM na chama chao: Anaona tatizo ni Kikwete naviongozi wenzake ndo maana anaona suluhu ya chama hicho ni MAGUFULI.
MADHAIFUYA NYONGEZA:
-Anakaguamadaraja akiwa kwenye kampeini
-Analindwana polisi kana kwamba ameishakuwa rais
-Anatumiataswira/vibonzo hatarishi - mathalani: kupiga push up kunamfanya awe body guardwa rais badala ya kuwa rais! Kuruka toka juu ya gari kunamfanya aonekane nimpiga debe wa mgombea wa UKAWA. Tumbili aliyefundishwa vizuri anaweza kupigapush up; je apewe urais?
Wikitatu zilizobaki haziwezi kubadilisha sana upepo huu mbaya kwa Magufuli.
Jamani viashiria vingi katika kampeini hizi, vinampanafasi ndogo Magufuli. Ebu tupitie hivi vichache:
-Haiba/Personality: Vijana hawavutiwi naye; wazeehawamwoni kama mwenzao; wanawake wanamwona mkatili kwa kuwa hafuatani na mkewe.
-Elimu: Wasomi hawavutiwi kwa sababu hoja zake zimekaakikawaida kuliko kisomi; mikakati yake imekaa ki-Ninja kuliko kistaarabu.
-Wafanya biashara: Anawatisha na kuwaona ni maadui wauchumi badala ya kuwaona kama marafiki wa uchumi
-Wanafunzi wa vyuo vikuu: Anawaona ni tatizo badala yakuona mfumo ni tatizo.
-Wafanyakazi: Anawaona ni tatizo; wakati huo huo anaonahaki zao kuwa ni fadhila.
Wana CCM na chama chao: Anaona tatizo ni Kikwete naviongozi wenzake ndo maana anaona suluhu ya chama hicho ni MAGUFULI.
MADHAIFUYA NYONGEZA:
-Anakaguamadaraja akiwa kwenye kampeini
-Analindwana polisi kana kwamba ameishakuwa rais
-Anatumiataswira/vibonzo hatarishi - mathalani: kupiga push up kunamfanya awe body guardwa rais badala ya kuwa rais! Kuruka toka juu ya gari kunamfanya aonekane nimpiga debe wa mgombea wa UKAWA. Tumbili aliyefundishwa vizuri anaweza kupigapush up; je apewe urais?
Wikitatu zilizobaki haziwezi kubadilisha sana upepo huu mbaya kwa Magufuli.
hawezi kuongea mabaya ya serikali kwa maana anahusika nayo, inafact lowasa akubali kubaki mpweke baada ya kushindwa hapo 25/10We real know that LOWASA ni kiongozi tishio ndio maana watu wote waliobaki ccm wanampiga mawe. Ivi kwann wanasahau kuwa ana uwezo wa kuongea mabaya ya serikali maana alikuwa huko? Ccm mufanye kampeni kama lowasa hawatukani na hana muda na nyie. Mnamjuwa ndo maana mnateseka muda wote kusema fisadi.
Kwa akili ndogo Jiulize kwann hasemi lowasa mbaya alafu ukuje na maelezo mazur
We real know that LOWASA ni kiongozi tishio ndio maana watu wote waliobaki ccm wanampiga mawe. Ivi kwann wanasahau kuwa ana uwezo wa kuongea mabaya ya serikali maana alikuwa huko? Ccm mufanye kampeni kama lowasa hawatukani na hana muda na nyie. Mnamjuwa ndo maana mnateseka muda wote kusema fisadi.
Kwa akili ndogo Jiulize kwann hasemi lowasa mbaya alafu ukuje na maelezo mazur
Jidanganyeni na --------- wenu. Subirini tarehe 25 ndipo mtakapojua Magufuli anawatu kiasi gani. Sahauni na muondoe mawazo ya kumshinda Magufuli hata siku moja haitatokea. Day Dreams.
Naunga mkono ingawa siipendi ccm. Magufuli atapata kura nyingi sana vijijini. Huku watu wanaishangaa chadema kwa kigeugeu. Jana lowasa alikuwa fisadi na leo kawa mwadilifu! Pia kura hazipigwi huku kwenye mitandao. Nawaomba lowasa akishindwa msifanye fujo mtapigwa tu.