Hili nalo ni jambo zito

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
2,202
Reaction score
1,229
Wandugu katika mahusiano ya ndoa......Chungeni ndoa zenu hasa mnapokuwa katika mwili mmoja kwani walio wengi kwa utafiti nilioufanya 80% ya Wanawake tangu wawe kenye ndoa hawajawahi kufika kilele cha Mlima na hawajui kuwa kuna kufika huko ingawa ndani ya ndoa yao wamejaliwa kupata watoto.......lakini loooooooooooo ni kumfurahisha Mume tuuu......inafikia wakati huwa wana ndoa wa kike baadhi yao wanajiuliza inakuwaje wanawake wengine wanapagawa na mambo ya kugegedana? ilihali wao haoni chochote?
Vilevile nao wanaume walio wengi hawajawahi na hawajui kuwa kuna kuwafikisa wenzi wao kileleni,

usipofanya jitihada za makusudi siku akitapa mchepuko unaojitambua umekwisha.............Ndoa hakuna tena...........kwani kileleni kuna eitha
1. sauti isiyo ya kawaida siyo ile ya kuzuga/wizi.......
2. kupigwa loba
3.kufinywa
Nk
na baada ya hapo kinachofuata ni kuoneana aibu huku mukipeana pole
kwa mwanaume anayelijua hili ni lazima amfikishe mwenzie vinginevyoanafanya kusudi au hajui kabisa

Je una matatizo hayo usione aibu tupo hapa kusaidiana jinsi gani ya kutatua sintofahamu hii mnakaribishwa........
 
ItakuwA wanaume wa dar inawahusu ila sisi wa nzega wake zetu wanajua show zetu zinavyokuwaga
 
Nachapa kama mandingo kama kuna mdada afikishi kwenye kilele cha mafanikio ani pm tuyajenge
 
afike kileleni asifike.. mm hainipi shida...
hatuwez kuwa na wanaume ambao malengo yao ni kufikisha mtu kileleni...
 
afike kileleni asifike.. mm hainipi shida...
hatuwez kuwa na wanaume ambao malengo yao ni kufikisha mtu kileleni...
Mkuu uombe Mungu amlinde na awe mwaminifu kwako kuwa wake waliacha Ndoa, Mali na watoto zao ka kufikishwa tu Kileleni............
 
Nachapa kama mandingo kama kuna mdada afikishi kwenye kilele cha mafanikio ani pm tuyajenge
Tatizo la maada kama hizi zikitolewa basi hawa Foolish Age wanaleta shida sanaa na utawaona tu kwenye michango yao.........!!!
 
Kazi kweli kweli, hivi mwanamke anaweza akashika ujauzito km hajafikishwa kileleni??? Hayo mayai yanatoka wapi??? Kufika kileleni maana yake ni nini nauliza tu lkn??
 
Kazi kweli kweli, hivi mwanamke anaweza akashika ujauzito km hajafikishwa kileleni??? Hayo mayai yanatoka wapi??? Kufika kileleni maana yake ni nini nauliza tu lkn??
Waliobakwa walifika kileleni?
 
Tatizo la maada kama hizi zikitolewa basi hawa Foolish Age wanaleta shida sanaa na utawaona tu kwenye michango yao.........!!!
Hata hawa wanaojifanya martual enough wapeonda sana kufatilia mambo ya foolosh age
 
Jina lako tu ni mjini chai sasa uzi wako utakuwa nini kama siyo mchaichai!?
 
Uzi wako mzuri ila usitake kutuambia wanawake wasiofikishwa kileleni ndo wachepukaji wanawake wana shida nyingi sio kufikishwa kileleni tu,vp akina amber lulu,gigy idadi zote za wanaume walio nao ni kwasababu hawafikishwi kileleni?na sio hao tu wapo wengi huku uswahilini ni noma
 
Kazi kweli kweli, hivi mwanamke anaweza akashika ujauzito km hajafikishwa kileleni??? Hayo mayai yanatoka wapi??? Kufika kileleni maana yake ni nini nauliza tu lkn??

Binafsi naelewa kuwa wakifika kileleni ni kushika ujauzito kisha kushuka ni kujifungua sasa hata sielewi anamaanisha kilele kipi au Kibo na Mawenzi!?
 
Kazi kweli kweli, hivi mwanamke anaweza akashika ujauzito km hajafikishwa kileleni??? Hayo mayai yanatoka wapi??? Kufika kileleni maana yake ni nini nauliza tu lkn??
Mkuu Jovitha.......kuna uwezekano mkubwa kabisa wa kushika mimba bila ya kufika kileleni......Mayai ni lazima yatoke kwenye vifuko vya mayai pale yanapopevuka kawaida kila mwezi mara moja.........kufika kileleni kunapatikana tu pale mnapofanya tendo la ndoa hasa kwa mwanamke anafikia wakati of no return........ Watani zangu Wahaya wana kitu kinaitwa KATARERO Point of no Return........
 
Ni kweli Mkuu hii ni sababu kubwa akiacha hizo zingine lakini i swear, can i cross my heart akichepuka na akampata mjuzi basi ndoa ipo mashakani.............!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…