Hili liwe funzo kwetu wanaume

Embu turudi kwenye facts kidogo. Jamaa alipewa option tatu; 1) Kuchezea kichapo mixture mapanga, akatoka bila kovu, kwa hiyo hili halikufanyika.
2) Kutoa mil 3, ambazo hakufanikiwa kupata.
3) Kutatuliwa marinda, kwa haraka haraka zilikuwa njemba tatu na ndio option ya mwisho iliyobakia.
Aise mpe pole, mwana wamemtatua rinda.
 
Kajifunze kudanganya halafu uje tena
 
Unapolala na mtu usiyemjua ni hatari,kwani unakuwa umemkabizi maisha yako na ya kwake ni ya kwako;kwa wale wanaopenda kulala na wake/waume za watu jitahidini ndani ya lisaa limoja umebadili hoteli 2 au 3 na wakati huo simu zote ziwe zimezimwa na ziko sehemu ambayo hakuna mtu atafanya mawasiliano ili kuepusha fumanizi.
 
Michezo aina ya michoro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…