"AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO" Huu ni ujumbe kwa askari polisi wote, kutokana na utii wao wa amri sasa wameanza kutumika vibaya, kama kuua raia bila kujua kwamba watoa amri hizo hawatakuwanoa milele na vile vile pia nao wanamipaka ya kuwatetea.kama hili la IRINGA
mwache ile upande wake huyo kilaza. na bado wale waliofanya mambo kama hayo mikoa mingine. wanadhani hao waliowatuma watakua kwenye madaraka milele.ipo siku watakuja kupatikana wote waliowanea wananchi. ajitete mwenyewe sasa. waliomtuma kuua wamemwacha, yey ndo katolewa kafara."AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO" Huu ni ujumbe kwa askari polisi wote, kutokana na utii wao wa amri sasa wameanza kutumika vibaya, kama kuua raia bila kujua kwamba watoa amri hizo hawatakuwanoa milele na vile vile pia nao wanamipaka ya kuwatetea.kama hili la IRINGA
"AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO" Huu ni ujumbe kwa askari polisi wote, kutokana na utii wao wa amri sasa wameanza kutumika vibaya, kama kuua raia bila kujua kwamba watoa amri hizo hawatakuwanoa milele na vile vile pia nao wanamipaka ya kuwatetea.kama hili la IRINGA
Ni kweli kabisa kwamba polisi watafakari faida na madhara ya kutekeleza amri wanapopewa amri na wakubwa zao. Kama mtuhumiwa wa mauaji ya Mwangosi, hivi hakujua kuwa kuua ni kosa la jinai kisheria? Mauaji anayotuhumiwa nayo yalikuwa na tija gani kwake. Polisi changanyeni na zenu, kumbukeni kwamba nyie ni sehemu ya jamii na wala hamko juu ya sheria.