Hili lisemwe na kuoongezwa!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,400
Reaction score
31,909
Leo wapo watumishi wa umma wamecheka yaani wamepandishwa madaraja na mzigo umeongezeka huko kwenye ATM.

Hii ni pending ya jambo letu.
 
Magufuli alikuwa na nafasi ya kufanya yote haya. Akijikuta ameamua kuwa dictator sasa mama anajibebea maujiko kiulainii
 
Imekuaje siku hizi? Au ndio maagizo ya Katibu, Sifia, Sifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…