Hili lipoje? Msaada wa mawazo

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sina tako Mkuu! Yan vyovyote nitakavyolala lazima niache shimo kwenye godoro
Weka picha yako na ya sehemu inayo bonyea kwenye hilo godoro, ili tuone namna nzuri ya kukusaidia.
 
Jipige kifuani sema mm ni kidume nna uzito

Nikutoe wasi wasi hauna shida ila inaonekana unalala mahala pamoja kwenye godoro yaani ukilala haugeuki unabaki palepale
Hata kama ni mzito inaonekana uzito umezidi katikati ya mwili
 
Haujawahi kumeza mtoto wa panya?
 
Mkuu kapige utrasound usije ukawa umenasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…