Hili linawezekana?

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
290
Kuna mdada mmoja anasema amefungwa na mama yake wa kambo ili asiolewe wala asizae. sasa najiuliza kuna mambo kama haya kweli au yeye atakuwa anajistukia tu.
 
Amefungwa papuchi au?

ana miaka 34, sasa anasema wanaume wanamchumbia lakini wanabadili nia ni kwa sababu kaendewa kwa mganga na huyo mama ndio maana nikaona niulize kama kuna ukweli kwenye hilo
 
mwambie aje ajaribu kwangu aone atakavyotoka na mapacha!
 
Napata tabu kuelewa hapa yaani papuchi haina tundu au?
 
ajichunguze unaweza kuhisi umefungwa kumbe kuna kitu kinakimbiza wachumba
 
mwambie aje kwangu, ntapiga power, itafunguka na atapata uja weight, sasa hilo tatizo kwake litakuwa limekwisha, karibu kwa Dr maku anatibu.
 
kuna mambo meng kweny mahusiano, yaweza kuwa tatizo lipo kwake mwnyw na ck zoote jambo unaloliamin kuwa ni mkosi na huwa ni mkosi so kwanza aaaachane na hyo imaniiii then ajitathamini yy mwnyw tatizo lipo wap?
 
anajuaje kama kafungwa??? mbona anahamishia lawama kwa mama wa kambo??? hahahaaaaa mweeee analo huyo
 
Napata tabu kuelewa hapa yaani papuchi haina tundu au?
kama ingekuwa imeziba angefanyiwa upasuaji tatizo likaisha ila kapewa jini amuoe hataki aolewe na mwingine.
 
Eti jini huyo jini kama kapewa si amkatae tu ama?
kama ingekuwa imeziba angefanyiwa upasuaji tatizo likaisha ila kapewa jini amuoe hataki aolewe na mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…