Habari zenu wakuu..?
Jambo hili nimejifikiria ni kama linaugumu fulani hivi lkn nikaona nije nishirikishe vichwa vyengine zaidi.
Jambo lenyewe ni,
Binadamu anaweza kuihamisha dunia kutoka kwenye muhimili(orbit) yake..?
kama anaweza ni kivipi/kwa njia ipi..?
ni hivyo tu...
karibuni