Hili likifanikiwa nitaipongeza TISS na Rais Magufuli

 
Haya mashirika yote ya umoja wa mataifa yapo hapo kwa kazi maalum kuzirudisha nyuma mataifa yanayoendelea na kufanya ujasusi kupitia misaada ya kibinadam

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawasema sana hawa european
Lakini bila ya hio misaada yao africa/Tanzania ingekuwtanzan?
Asilimia kubwa ya nchi za Africa zinategemea hio misaada ya nchi za europe ikiwemo Tanzania

Tatizo la viongozi wa Africa hawataki kushauriwa,
Umeme wa Gesi uliishia wapi??,Makaa ya mawe je?, kidatu,nyumba ya mungu na vingine mbona vimeshindwa kutatua tatizo la umeme
Vipi kuhusu umeme wa upepo??

Hali ya hewa na tabia nchi vinabadilika kwa kasi mnoo. Ilifaa waanze na research kwanini uzalishaji wa umeme na maji vimepungua kwenye vyanzo vingine vya kuzalisha umeme, bila ya hivyo inaweza isichukue muda na wenyewe ukaanza pata hayo matatizo!!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama nia ya kujenga IPO kibano cha mabeberu hatukiwez. Huo mradi utakufa kabla ya kuanza. Halafu hivi MW 2100 ni kitu gani it is just peanuts kwa mahitaji ya Umeme kwa miaka 10 ijayo. Tusiwe na mawzo ya kitoto kushinda hoja isiyo na mantiki yoyote kwa kitu chenye kuonekana Leo ni kingi lakini in future Hanna kitu pale .Pale ni kushinda kesi ya mbuzi kwa kuendesha kesi umeuza ng'ombe .ni upungufu Wa fikra . tutafakari kwa mapana tusiwe myopic kifikra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio inaitwa useless hypothetical thinking.
Badala ya kufikiria maendeleo , Tanzania iunde bomu la nuclear ili umtishie nani, Mmarekani?
Stupid , irrational thinking at its worst!
 
Afrika tuna tatizo kubwa sana la ubinafsi na kutafuta madaraka.

Ni wazi kuwa miaka 100 ijayo Afrika itakua ni sehemu yenye hali mbaya sana ya uharibifu wa Mazingira mana mambo mengi tunayafanya kwa kuwaza madaraka na siasa tu lakini sio uhai na vizazi vijavyo.

Nimekua nikijaribu kuuliza wataalam wa miamba waliopo humu waje watueleze kuwa balance ya nature kwenye miamba itakuaje endapo patatokea Bwawa lenye ukubwa wa Jiji la DSM? Je, jiji la DSM halitakua kwenye hatari ya kukumbwa na Tetemeko la ardhi kutokana na mgandamizo wa uzito wa Matrilion ya ujazo wa Lita za maji kwenye Bwawa hilo?
Mpaka sasa sijapata mtaalama wa kunijibu kisayansi zaidi ya siasa kuwa ije,mvua au jua Bwawa ni lazima lijengwe!
Ndio litajengwa lakini mazingira yatakuaje kwa miaka ijayo?
Je, miaka 50 ijayo mvua zitakua za uhakika ukizingatia tunakimbilia kwenye viwanda ambavyo kiuhalisia vimepitwa na wakati na wenzetu wanatushawishi ili wapate pa kuvitupa?
Gharama ya kurudisha mazingira yaliyoharibika ni kubwa sana. Mtano ni mashimo yanayotokana na migodi; hayawezi kurejeshwa kama mwanzo ,matokeo yake ni kutokea kwa matetemeko makubwa yasiyowahi kutokea mfano kule Kagera.
Japani inapatwa na matetemeko makubwa sana kutokana na kuwa na mazingira yaliyobadili asili ya nchi kutokana na maendeleo.

Sio kila ushauri wa hao majasusi wa dunia ni mbaya.
Wenzetu wanawaza sana dunia hii iendelee kuwepo kwa Marne nyingi zijazo lakini sisi tunawaza taifa la wakati wa madaraka tu . Ndio maana tunawaza ulimwengu wa kipeke yetu eti tunashindana na mataifa makubwa.
Wenzetu wanashindana kwa tafiti zilizofanywa karne zilizopita lakini sisi tuna vitafiti uchwara vya miaka mitano iliyopita wakati wa kampeni na tunavitumia kushinda uchaguzi tu.

Dunia ya sasa umeme hata ukirokea Msumbiji tunaweza kuutumia na kulinda mazingira yetu. Sio lazima kila kitu kitoke Tanzania.
Dunia ipo hapa ilipo kutokana na kutegemeana. Wakati Afrika ilibaki nyuma kutokana na kuwa na Tawala nyingi zilizokua na ubinafsi na kujitenga kimakabila na hata kikoo.
Hata ukoo mmoja kushirikiana na mwingine ilikua ni shida ndio maana tukatawaliwa kirahisi sana.

Tuliaminishwa kuwa tungeweza kuuza umeme wa gesi kwa nchi jirani lakini mpaka sasa hata ndani hatuna umeme wa gesi wa kutosha na sasa tunaingia kwenye mradi wa Tril. 7 wa umeme na bado hautatosha. Tunaambiwa utakua bei rahisi lakini hatujaambiwa kuwa unakua rahisi kwa sababu ni huduma na umegharamikiwa na serikali.
Hata ule wa Gesi na mingineyo ikigharamikiwa na serikali itakua ni bei rahisi hata bure wakitaka kama wanaona watapata kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
k
kwenye utawala huu wa ccm usitegemee lolote la maana zaidi ya mauwaji tu
 
Ndugu kwakukusaidia tu battle ya kijasusi haina kinga za kimahakama bali utajikuta unakwama tu, hujiulizi kwanini mradi mmoja tunashuhudia wakandarasi zaidi ya wanne na kwa taarifa yako tutaendelea kushuhudia tu....
Mkandarasi yeyote anachokitaka ni due diligence ya malipo, full stop.
Kwa mawazo yako TAZARA iliyopingwa kiwazi wazi na Marekani, isingejengwa.

Mradi wa maendeleo ya wananchi, ni wananchi wenyewe kuamua na kusimamia uamuzi.
 
We mpumvavu, vyanzo vingine vitapelekea nchi kuwa na gharama kubwa za umeme huelewi? Kuzalisha umeme wa gesi n sh 114 wakati kiasi hichohicho kwa umeme wa maji ni sh 3. Utachagua lipi? Ni taahira kama wewe tu utachagua kuzalisha umemw wa makaa ya mawe kwa sh karibu 1000 wakati wa bei ya chini upo. Hivi ni vita vya kiuchumi na si suala la mazingira kama unavyoamini wewe bwege mtozeni. Kama jambo hulijui kaa kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa hii Project hakuna Mkopo ila kungekuwa na Mkopo mbona tungeshindwa mchana kweupe..!!
 

Gullam iwe Mchana, giza liingine, iwe usiku, Mvua inyeshe isinyeshe mradi utajengwa. Punguza kutupigia kelele!
 
Shule gani umesoma mkuu?? Umeme utokee msumbiji? Unajua vyanzo vya umeme wa nsumbiji? Embu google alafu uone ulichokiandika.
Eneo la hifadhi patapojengwa dam it's only 1 percent. 99 inaachwa!!!

Hivi production ya nuclear na umeme wa maji ipi ina athari kimazingira? Unadhani kuna maendeleo yoyote ya kiuchumi bila umeme wa uhakika?
Au mpaka tundu lissu aseme umuhimu wa umeme ndo mtaelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa mradi huu research kubwa sana imefanyika mkuu kuhusu mambo ya kuhusu mambo ya siasa siwezi ongea kitu lakini ujue tu kwenye msafara wa mamba hata kenge uwapo pia chief umeme kwa hapa kwetu matumizi uongezeka tunaitaji vyanzo mbadala zaidi vya uzalishaji umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mradi utatufaa sana kama ukikamilika na utaafect bei ya unit ya meme katika viwango vya juu....sio tunaongeza hayo ma megawati, alafu inasaidia kupunguza senti 60 kwenye bei ya sasa ya uniti ....maana tumezoea hata kwenye nishati ya mafuta, unasikia soko la dunia bei imeshuka kwa $40 kwa pipa lakini kwetu inapanda kwa shilingi 100...a maisha yanaendelea...
 
NDUGU YANGU YERRICO NILICHOGUNDUA KUWA TUNAKOSEA TUNAPOINGIA MKATABA WA KUJENGA HII PROJECT NA VINCHI VIDOGOVIDOGO.
KIASI KWAMBA MABEBERU WAKIKOHOA WANA SITISHA PROJECT INABIDI KUSAINI MKATABA NA NCHI KUBWA KAMA
RUSSIA TENA UWE WA NUCLEAR KABISA ..



NB >>>will call you
taaluma ya ujasusi itumike kuleta ustawi katika jamii badala ya kudhuru kama ambavyo mashirkika mbalimbali ya ujasusi yamekuwa yakifanya kwa njia moja au nyingine, hii au ile. Ama kitabu hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…