Hili likifanikiwa nitaipongeza TISS na Rais Magufuli

Mlisema hata SGR hataweza lakini hadi sasa kazi imeishafanyika kwa 41%
Unaijua asilimia au unaadika tu mradi watu wasome . asilimia unachukua kilomita zilizokailika na reli inafanya Kazi. Sasa Morogoro hakuna treni inayoenda kipande cha SGR halafu unatamka tumekamilsha 41% .? Au kuweka mikataba Wa Ujenzi ndio lumeshajenga. ? Hapana tusidanganyane bado Kazi IPO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa mbona mada zake nyingi humu JF topic zake ni TISS tu?
Anajua wabongo wengi ni mazwazwa, wakisikia TISS mavi yanagonga vyupi na kwa kuwa wanafanya kazi zao kwa siri basi kila TOM, DICK na JERRY anavunga anawajua.

Lengo la bandiko ni KUUZA VITABU UCHWARA.
 
Vita vya Kiuchumi Tanzania chini ya mradi mtambuka wa maporomoko ya Rufiji, siasa ya Mazingira duniani na muundo na mienendo ya Shirika la Elimu, Sayansi na Udhibiti wa Mazingira duniani (UNESCO), vinanipa sababu ya kuiponeza TISS katika ulimbe huu wa vita vya kiuchumi.

Bonde la Rufiji liko kwenye urithi wa dunia kwamjibu wa Shirika la Uhifadhi wa Mazingira (UNESCO), Na hivyo ulinzi wa bonde hili ni kwa sheria za kidunia sio kwa sheria za Tanzania, hapa ndipo ambapo nataka kusifu idara za ujasusi na kumsifu Rais Magufuli kwa kuishinda dunia dhidi ya misimano na sera za mashirika haya ya kidunia ambayo Mwalimu yalimshinda, Mwinyi yalimshinda, Mkapa yakamshinda, Kikwete yakamshinda

Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikipitia nyaraka za kijasusi za mashirika na taasisi mbalimbali ulimwenguni (Realiised docs), nimejiridhisha kuwa vita nikubwa kuliko wengi wanavyofikiri, na ikiwa mradi wa umeme bonde la Rufiji utafanikiwa, basi TISS itaingia kwenye historia ya mashirika bora kabisa ulimwenguni kwa counter intelligence hii. Palipo na uthubutu lazima tupongeze,

Awali mradi huu wa Umeme wa Stiegler's Gorge Ethiopia walikubali kujenga, lakini hakuna maelezo kama waliishia wapi ama walishindwa tenda. Zikawepo taarifa za Waturuki kuwa watajenga, nazo zikaishia hewani. Kisha tukashuhudia Arabb Contractors wa Misri wakisaini mikataba ya ujenzi. Bado ujenzi rasmi haijaanza, lakini hatua tu ya kuthubutu kusaini mkataba ni hatua kubwa inayostahili kupongezwa.

Bunge la Ujerumani liliweka azimo kuitaka serikali ya nchi hiyo kuzuia ujenzi wa mradi huo wa Rufiji na badala yake serikali ya Ujerumani isaidie kujenga vinu vya gesi kwaajili ya nishati ya umeme. Kwakuangazia jambo hili watu wengi wanaweza kujiuliza, itakuwaje nchi ya Ujerumani iingilie masuala ya ndani ya Tanzania? Mifumo ya kijasusi iko hivi, kwamjibu wa Nyaraka za idara ya ujasusi ya nchini Lithium (Anual report 2016) inaonyesha kuwa Ujerumani pekee ina majasusi 11 wa ngazi za juu ndani ya UNESCO, na kwa nadharia hiyo, Ujerumani ikitaka kuzuia miradi yoyote yenye uharibifu wa mazingira inatumia msukumo wa UNESCO.

Kinachoweza kutokea ni kuwa UNESCO inaweza kuiandikia barua ya katazo nchi husika kwamba pale ni sehemu ya Urithi wa Dunia (World heritage site.) na hairuhuriwi kupajenga. Na wanaonya kuwa ukiwa mbishi na ukaendelea kujenga utakuwa black listed. Na kampuni inayopata tenda ya kujenga nayo inapewa barua na kuonywa kuwa itakuwa black listed na Bank Account zako zitakamatwa. Kwakufanya hivyo wanashinikiza kampuni zijitoe katika mradi husika.

Majasusi hawa wamefanya hivyo kuidhibiti Iran, enzi za Reza Khan kwakutumia mashirika haya ya kidunia , ambayo mengi ni mashirika ya kijasusi. Pia nchi za Panama zimewahi kukumbana na nguvu ya mashirika haya.

Kwa namna yoyote naipongeza Serikali kwa ujasiri huu wa kufunga masikio na kelele za kidunia na kuamua kuanzisha mradi huu uliokwamba tangu miaka ya 60+. Hii ni hatua kubwa sana na ninaamini itaacha legacy kubwa sana kwa rais Magufuli na kwa vyombo vya ujasusi nchini ikiwa utafanikiwa, ingawa hakuna nchi au kikundi kilichowahi kushindana na mashirika haya ya kidunia na kikashinda, zaidi ya hapo labda ziwe ni siasa za kura. Bado naamini tumethubutu pakubwa sana, na katika ndoto tutashinda...

Unaweza kujipa nafasi ya kusoma kwa undani zaidi kitabu cha Ujasusi kujua nama Ujasusi dhidi ya Ujasusi unavyofanya kazi na mifano hai toka katika viunga vya dunia ya ujasusi.

Nakuletea ulipo PROMOSHENI ya VALENTINE DAY ya Kitabu cha Ujasusi nakala TANO kila nakala ni 50,000/= tu badala ya bei halisi ya 80,000/=
.

Nunua kwa 50,000 kwa 0715865544 au 0755865544. Kisha tuma majina yako na mahali ulipo, kitabu kitaletwa popote ulipo Tanzania

View attachment 1021431
Vita nya kiuchumi ni vigumu sana....
 
Una kasoro kubwa tu katika line yako ya argument.
Tanzania ni sovereign state, hakuna sheria za UNESCO wala UN ambazo ziko superimposed kwenye katiba yetu ya nchi, ati tuifuate!

Jurisdication ya dola ya Tanzania ipo ndani ya nchi hii na hakuna chombo au nchi yoyote yenye uwezo kutushitaki popote duniani.
Kwa hiyo nakushangaa ati majasusi ya UNESCO ndio waje ku enforce sheria zao hapa nchini, uongo mtupu unaonyesha kutokuwa na uelewa wa sheria.

Inaelekea mtoa mada hujui tofauti kati ya sheria, makubaliano na maazimio.

Kila nchi ina rasilmali zake za kuzitumia ili kuendeleza watu wake.

Hata hivyo naungana nawe kumpongeza JPM kwa kuchukua maamuzi magumu.
Jasusi hategemei sheria kukamilisha mission zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said, lakini Arab Contractors ni compuni ya kijeshi ya Egypt ni sawa na Suma JKT pindi itakapokuwa kubwa. Kwahiyo nao ni wadukuzi. Kifupi ili nchi iweze kuwa nanguvu duniani ni pamoja na kuwa na compuni kubwa zenye ushindani kama Arab Contractors. Mfano mafanikio makubwa ya kuokoa Wayahudi waliokuwa wametekwa na magaidi hadi Entebe Uganda 1976 ni kuwa kampuni ya kiyahudi ndiyo iliyokuwa imejenga uwanja wa ndege wa Enttebe. Sasa Egypt wanategemea Nile na chanzo cha Nile ni hapa Tanzania, kwanini wasitusaidie kujenga hilo bwawa ili tusiwasumbue na Nile au Victoria. Pia Jeshi la Egypt linafadhiriwa na America kwa asilimia 40 bila riba kila Mwaka.

Fikira hapo
 
Mkandarasi yeyote anachokitaka ni due diligence ya malipo, full stop.
Kwa mawazo yako TAZARA iliyopingwa kiwazi wazi na Marekani, isingejengwa.

Mradi wa maendeleo ya wananchi, ni wananchi wenyewe kuamua na kusimamia uamuzi.

Nashangaa sana washabiki wa kina Zitto.

Construction[edit]
In August 2017, the Tanzanian government advertised for bids to construct this dam. The selected contractor is expected to complete the dam in no more than 36 months.[4][5] The power generated will be evacuated via a new 400kV high voltage power line to a substantiation where the power will be integrated into the national electricity grid.[2] The government of Ethiopia is advising the Tanzanian government on the implementation of this project.[6]
In December 2018, The Citizen (Tanzania) newspaper reported that the government of Tanzania had awarded the construction contract for this power project to Arab Contractors Limited of Egypt, at a budgeted cost of US$2.9 billion (TSh6.558 trillion).[7]
In February 2019, the government of Tanzania handed over the construction site to the consortium comprising Arab Contractors and El Sewedy, both of Egypt, who had been selected to build the power station. Allowing six months to mobilize equipment, actual construction is expected to tart in the 3rd quarter of calendar year 2019.[8]
 
Haya mashirika yote ya umoja wa mataifa yapo hapo kwa kazi maalum kuzirudisha nyuma mataifa yanayoendelea na kufanya ujasusi kupitia misaada ya kibinadam

Sent using Jamii Forums mobile app
UN yenyewe ipo kwa ajili ya ku-sabotage
humanity,hamna lolote,na international treaties zipo kwa ajili ya kutu-contain,wala sio kwa ajili ya faida yetu.Frankly sijawahi kuona faida tangible ya United Nations wala mashirika yake zaidi ya kutuhuniwa kui- support Marekani kufanya ujinga mwingi na kusambaza hata HIV na Cholera.UN yenyewe imekiri kwamba imesambaza HIV Haiti.Read and listen to this.

NPR Choice page

Nikiri mimi kwenye issue ya TISS ni sawa na form one! Hivi hawa TISS sio hawa walioshindwa investigation ya issue ya TL na MO mpaka sasa tumepata jina maarufu la WASIOJULIKANA? Hii ilikuwa just by the way japo ni muhimu kunielewesha.

Nirudi kwenye hoja ya msingi. Kwahiyo unapongeza TISS na Magufuli kwa sababu tu wameweza au watawezakuishinda German ndaya ya UNESCO au ni msimamo wao unaotokana na faida ya mradi huo na hakuna matokeo hasi kwa mazingira.?

Ni muhimu ukajibu hoja zangu bila kujali kama ninahoja za msingi au laa, japo hata kama hutajibu nitakuwa mteja wako.
 
Anajua wabongo wengi ni mazwazwa, wakisikia TISS mavi yanagonga vyupi na kwa kuwa wanafanya kazi zao kwa siri basi kila TOM, DICK na JERRY anavunga anawajua.

Lengo la bandiko ni KUUZA VITABU UCHWARA.

Naweza kuwa sijui lakini huyu jamaa labda macho yangu lakini mada zake zote nilizoziona humu JF anaongelea TISS tu
 
Mimi siungi mkono ujenzi wa hili bwawa. Watanzania hatuna shida ya vyanzo vya umeme mpaka tukafikia kuharibu uoto wa asili. Lazima tukubali kutokukubaliana. Tuna vyanzo vingapi vya maji vya umeme? Kwanini havikizi haja? Kihansi, Bwawa la Mungu, Kidato, Hale yote hayo tumeshindwa kupata mahitaji au kuna uzembe Tanesco? Haya tuna vyanzo vingapi vya makaa ya mawe? Kiwira Stamiko ambako umeme unazalishwa mpaka leo, Liganga huko, je vyanzo vyote hivyo kuna haja ya kukimbilia rufiji? Jamani nakumbuka mwaka 2012 serikali ilisema mwisho wa matatizo ya umeme umefika. Tutatumia umeme wa gesi kutoka mtwara, mpaka wananchi wakapigwa na kufa kama sikosei. Umeme huo uko wapi, hapana hakuna haja ya kujitenga na dunia, Tanzania peke yetu hatuwezi. Tukisema eti kila kilicho Tanzania ni chetu, tujiulize kabla ya kuwekwa mipaka ya Tanzania vilikuwa vya nani? Ifike kipindi lazima tukubalia kuwa hata wananchi tuna nguvu kwa umoja wetu kuishauri serikali, kuhusu mustakabali wa nchi yetu. Sio tuwaachie watu 100 ndio waamue kw a ajili yetu wakati huwezo huo hawana. Heri ya nusu Shari, kuliko Shari kamili. Na kila mzua janga hulia na wa kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani vyanzo vipo Vingi sana mpaka tunawavamia wanyama.. MAkaa ya Mawe yametutoa ngeu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita vya Kiuchumi Tanzania chini ya mradi mtambuka wa maporomoko ya Rufiji, siasa ya Mazingira duniani na muundo na mienendo ya Shirika la Elimu, Sayansi na Udhibiti wa Mazingira duniani (UNESCO), vinanipa sababu ya kuiponeza TISS katika ulimbe huu wa vita vya kiuchumi.

Bonde la Rufiji liko kwenye urithi wa dunia kwamjibu wa Shirika la Uhifadhi wa Mazingira (UNESCO), Na hivyo ulinzi wa bonde hili ni kwa sheria za kidunia sio kwa sheria za Tanzania, hapa ndipo ambapo nataka kusifu idara za ujasusi na kumsifu Rais Magufuli kwa kuishinda dunia dhidi ya misimano na sera za mashirika haya ya kidunia ambayo Mwalimu yalimshinda, Mwinyi yalimshinda, Mkapa yakamshinda, Kikwete yakamshinda

Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikipitia nyaraka za kijasusi za mashirika na taasisi mbalimbali ulimwenguni (Realiised docs), nimejiridhisha kuwa vita nikubwa kuliko wengi wanavyofikiri, na ikiwa mradi wa umeme bonde la Rufiji utafanikiwa, basi TISS itaingia kwenye historia ya mashirika bora kabisa ulimwenguni kwa counter intelligence hii. Palipo na uthubutu lazima tupongeze,

Awali mradi huu wa Umeme wa Stiegler's Gorge Ethiopia walikubali kujenga, lakini hakuna maelezo kama waliishia wapi ama walishindwa tenda. Zikawepo taarifa za Waturuki kuwa watajenga, nazo zikaishia hewani. Kisha tukashuhudia Arabb Contractors wa Misri wakisaini mikataba ya ujenzi. Bado ujenzi rasmi haijaanza, lakini hatua tu ya kuthubutu kusaini mkataba ni hatua kubwa inayostahili kupongezwa.

Bunge la Ujerumani liliweka azimo kuitaka serikali ya nchi hiyo kuzuia ujenzi wa mradi huo wa Rufiji na badala yake serikali ya Ujerumani isaidie kujenga vinu vya gesi kwaajili ya nishati ya umeme. Kwakuangazia jambo hili watu wengi wanaweza kujiuliza, itakuwaje nchi ya Ujerumani iingilie masuala ya ndani ya Tanzania? Mifumo ya kijasusi iko hivi, kwamjibu wa Nyaraka za idara ya ujasusi ya nchini Lithium (Anual report 2016) inaonyesha kuwa Ujerumani pekee ina majasusi 11 wa ngazi za juu ndani ya UNESCO, na kwa nadharia hiyo, Ujerumani ikitaka kuzuia miradi yoyote yenye uharibifu wa mazingira inatumia msukumo wa UNESCO.

Kinachoweza kutokea ni kuwa UNESCO inaweza kuiandikia barua ya katazo nchi husika kwamba pale ni sehemu ya Urithi wa Dunia (World heritage site.) na hairuhuriwi kupajenga. Na wanaonya kuwa ukiwa mbishi na ukaendelea kujenga utakuwa black listed. Na kampuni inayopata tenda ya kujenga nayo inapewa barua na kuonywa kuwa itakuwa black listed na Bank Account zako zitakamatwa. Kwakufanya hivyo wanashinikiza kampuni zijitoe katika mradi husika.

Majasusi hawa wamefanya hivyo kuidhibiti Iran, enzi za Reza Khan kwakutumia mashirika haya ya kidunia , ambayo mengi ni mashirika ya kijasusi. Pia nchi za Panama zimewahi kukumbana na nguvu ya mashirika haya.

Kwa namna yoyote naipongeza Serikali kwa ujasiri huu wa kufunga masikio na kelele za kidunia na kuamua kuanzisha mradi huu uliokwamba tangu miaka ya 60+. Hii ni hatua kubwa sana na ninaamini itaacha legacy kubwa sana kwa rais Magufuli na kwa vyombo vya ujasusi nchini ikiwa utafanikiwa, ingawa hakuna nchi au kikundi kilichowahi kushindana na mashirika haya ya kidunia na kikashinda, zaidi ya hapo labda ziwe ni siasa za kura. Bado naamini tumethubutu pakubwa sana, na katika ndoto tutashinda...

Unaweza kujipa nafasi ya kusoma kwa undani zaidi kitabu cha Ujasusi kujua nama Ujasusi dhidi ya Ujasusi unavyofanya kazi na mifano hai toka katika viunga vya dunia ya ujasusi.

Nakuletea ulipo PROMOSHENI ya VALENTINE DAY ya Kitabu cha Ujasusi nakala TANO kila nakala ni 50,000/= tu badala ya bei halisi ya 80,000/=
.

Nunua kwa 50,000 kwa 0715865544 au 0755865544. Kisha tuma majina yako na mahali ulipo, kitabu kitaletwa popote ulipo Tanzania

View attachment 1021431
Binafsi naamini mradi wa Stieglers Gorge ni wa kifisadi na lengo lake ni CCM kuiba hela kwa ajili ya uchaguzi 2020, kwa sababu kwa kila hali hauwezekani!
 
Vip.bomba la mafuta ? kutoka Uganda ujenzi unaendelea limesimama mbona kimya sana.
 
Mada nzuri sana na imeandikwa kwa ufundi na usanifu wa hali ya juu.

Je Stiegler's Gorge Hydro Electric Power plant itajengwa iwe jua iwe mvua?
Hapa tulipofikia naona tumeshagota chuma cha reli hakuna safari tena

In God we Trust
 
Hii mradi haiwezi jengwa hata kidogo mana hata hao TISS ni weupe sana kukabiliana na hawa jamaa. Kama ulivogusia kuwa huenda contractor akajitoa hii ni dhahiri suala la muda tu
Upo sahihi mkuu lkn utawaona jamaa zetu wa rangi ya kijani wakipiga vigeregere utadhani majuha

In God we Trust
 
Wewe umetumwa kupima upepo kawaambie waliokutuma Mradi utakamilika na watanzania watapata umeme....Kama ni kujitoa kwenye mikataba ya kipuuzi ambayo hajaliletea tija Taifa huo unaosema ndio utakuwa wa kwanza
Tatizo lako haujawahi kutumia akili kwenye mambo yanayo hitaji kutumia akili

In God we Trust
 
Back
Top Bottom