i think JF-Expert Member Joined Apr 20, 2014 Posts 361 Reaction score 72 Jan 5, 2015 #1 Hili ni jambo la kheri pale mwanaume anapoenda nyumbani kwa mwanamke ambaye anamini anafaa kuwa mke wake na kutoa posa. Siingilii uamuzi wa MANAIK SANGA kutaka kufanya hvyo lakin je mwanajf jchukuliwe wewe ni mzazi au ndugu wa JACK WOLPER. MANAIK SANGA ANAKASHFA KUBWA YA KUPGA PCHA CHAFU ZAIDI YA 100 TENA AKIWA NA WANAWAKE ZAID YA 50. Kama ni ndugu wa WOLPER unaweza kumkabdh kijana kama huyu ambae ana mawazo ya kupata umaarufu kuptia utupu wa mabinti. Au MANAIKI amesahau kuwa ana kashfa kubwa na angepaswa kunyamaza na kufanya kwa vitendo juu ya POSA. MANAIKA amesema watz hatujui uzur wa wanawake wa kbongo yeye anajua uzur wa WOLPER na anaona ndiye mwanamke atakayemfaa. Hivi kwa kauli hii inaunyesha anataka mke wa familia au mschana mrembo kama jack. Anyway wanaume kauli uonyesha lengo letu mbeleni kauli za matamanio huweza kuwashka wanawake wasiojtambua. Simsemi vbaya MANAIKI n moja ya mahard work wa nyuma ya kamera katka FILAMU ZA KIBONGO.
Hili ni jambo la kheri pale mwanaume anapoenda nyumbani kwa mwanamke ambaye anamini anafaa kuwa mke wake na kutoa posa. Siingilii uamuzi wa MANAIK SANGA kutaka kufanya hvyo lakin je mwanajf jchukuliwe wewe ni mzazi au ndugu wa JACK WOLPER. MANAIK SANGA ANAKASHFA KUBWA YA KUPGA PCHA CHAFU ZAIDI YA 100 TENA AKIWA NA WANAWAKE ZAID YA 50. Kama ni ndugu wa WOLPER unaweza kumkabdh kijana kama huyu ambae ana mawazo ya kupata umaarufu kuptia utupu wa mabinti. Au MANAIKI amesahau kuwa ana kashfa kubwa na angepaswa kunyamaza na kufanya kwa vitendo juu ya POSA. MANAIKA amesema watz hatujui uzur wa wanawake wa kbongo yeye anajua uzur wa WOLPER na anaona ndiye mwanamke atakayemfaa. Hivi kwa kauli hii inaunyesha anataka mke wa familia au mschana mrembo kama jack. Anyway wanaume kauli uonyesha lengo letu mbeleni kauli za matamanio huweza kuwashka wanawake wasiojtambua. Simsemi vbaya MANAIKI n moja ya mahard work wa nyuma ya kamera katka FILAMU ZA KIBONGO.
missa JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 360 Reaction score 193 Jan 5, 2015 #2 Jamani kwan we ni mgeni na swaga za manaiki sanga.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,484 Jan 5, 2015 #3 Acha wafu wazikane wenyewe. Mpaka huyo jamaa awe anapiga picha na hao wanawake over and over again lazima kuna watu ambao hawaoni huo uchafu unaoongelea wewe. Na kama huyo anatakiwa kutolewa posa ni mmoja wapo, wewe ni nani hata useme jamaa hamfai?!
Acha wafu wazikane wenyewe. Mpaka huyo jamaa awe anapiga picha na hao wanawake over and over again lazima kuna watu ambao hawaoni huo uchafu unaoongelea wewe. Na kama huyo anatakiwa kutolewa posa ni mmoja wapo, wewe ni nani hata useme jamaa hamfai?!
K klorokwine JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 378 Reaction score 34 Jan 5, 2015 #4 Vijana wa kileo hao,akiskia kuko.joa tu,anatangaza kuoa.
TUMBOO JF-Expert Member Joined Jun 27, 2014 Posts 3,874 Reaction score 2,063 Jan 5, 2015 #5 Peleka jukwaa husika
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,150 Reaction score 21,801 Jan 5, 2015 #6 kume na huyu ni mme eti unapeleka kwenu nfano???
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Jan 7, 2015 #7 luckyline said: kume na huyu ni mme eti unapeleka kwenu nfano??? Click to expand... Shangaa na wewe besti!
luckyline said: kume na huyu ni mme eti unapeleka kwenu nfano??? Click to expand... Shangaa na wewe besti!
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,375 Reaction score 56,096 Jan 7, 2015 #8 nyie wolpa atakubali anapenda sana kuolewa yule binti mjue bas tu hajapata muoaji
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,934 Reaction score 3,254 Jan 7, 2015 #9 luckyline said: kume na huyu ni mme eti unapeleka kwenu nfano??? Click to expand... hakuna msichana mgumu mbele ya pesa
luckyline said: kume na huyu ni mme eti unapeleka kwenu nfano??? Click to expand... hakuna msichana mgumu mbele ya pesa
U uaminifukazi JF-Expert Member Joined Oct 22, 2014 Posts 1,481 Reaction score 928 Jan 7, 2015 #10 appoh said: hakuna msichana mgumu mbele ya pesa Click to expand... Kwani wolper mwenyewe ni mwanamke gani zaidi ya umalaya? Wote vicheche tu.
appoh said: hakuna msichana mgumu mbele ya pesa Click to expand... Kwani wolper mwenyewe ni mwanamke gani zaidi ya umalaya? Wote vicheche tu.
Diklopar Member Joined Oct 4, 2014 Posts 12 Reaction score 3 Jan 8, 2015 #11 appoh said: hakuna msichana mgumu mbele ya pesa Click to expand... Kwamba hakuna mkate mgumu mbele ya chai au? 🙊
appoh said: hakuna msichana mgumu mbele ya pesa Click to expand... Kwamba hakuna mkate mgumu mbele ya chai au? 🙊