vagarantTz
Member
- Oct 21, 2015
- 46
- 10
Stendi kuu ya mabasi ubungo kuna kiingilio pale getini lakini kule ndani mazingira siyo rafiki kabisa na abiria na mvua hzi ndio balaa kabisa matope yaani ni pachafu sana sijui hizi hela huwa wanachukua kwa ajili ya nini?
Ikiwa hawawathamini hao waleta pesa ambao ni abiria, kuna vibanda humo ndani vya biashara vitu vinauzwa bei juu ukkiuliza wanasema kodi ipo juu kuna mama ntilie nao chakula bei juu tatizo ni hyo kodi, huduma ya choo ni mia mbili vyoo ni vichafu balaa, sasa hiki kiingilio cha kazi gani?