Nimepata cheti cha kuzaliwa kutoka makao makuu ya rita hivi karibuni, ila cheti chenyewe kimenishangaza kwa kuwa na neno linasomeka hivi
NB. This is not a proof of citizenship
Ikiwa na maana cheti hiki cha kuzaliwa sio uthibitisho wa uraia wangu,
Je rita wanatoa vyeti kwa watu wasio raia??
je rita wanatoa vyeti vya kuzaliwa kwa ajili gani??
Kama mtu ukiwa na kitambulisho cha uraia je cheti cha kuzaliwa kinakuwa na kazi gani kama hakithibishi uraia wako?
Ninaomba watoe hiyo statement inayosema kuwa cheti cha kuzaliwa sio uthibitisho wa uraia wa mtu.