Hili la Mnyika litajibiwaje?

Unauhakika ni yeye aliyewagonga wale wasichana? au kwa vile yeye alikubali kuuvaa uhusika wa tukio lile? Hii ni Tanzania ndugu yangu.

Angalau alilipa faini kwa kosa linalofanana na hilo.
 
Angalau alilipa faini kwa kosa linalofanana na hilo.
Unaelewa kuwa kama katika kesi ile muhusika kamili angesimama yeye mahakamani ingekuwa kesi ya kuua kwa kukusudia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…