Feeling Haillee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 205
- 97
Niliwahi kutoa UZI humu kumtaka Magufuli atoe tamko kuhusu michango hiyo.Jamani huku kwetu kat Halmashauri yetu Watumishi tumekua tukilazimishwa kuchangia Michango kwa ajili ya MWENGE. Ninachouliza huu utaratibu ni wa nchi nzima au ni ubunifu tuu wa Great Thinkers wa Halmashauri yetu. Nauliza tuu kwa nia njema. Msinitafute.
Usincheke wakati nmevurugwa..., mana nlibakiwa na elfu 10 tu km Pocket Money. Nikaambiwa ni lazma nitoe elfu ya huo mchango.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Loooh!.Kuna sehemu zingine hawachangi Bali wanakesha tu na kunywa,kula na kucheza ,rhumba tu Hayo ni huko kwenu tu
Yaan ni heri atoe tamko ili tuwe na Amani. Watu tunatoa huku tukiwa tunanung'unika. Haipendezi.Niliwahi kutoa UZI humu kumtaka Magufuli atoe tamko kuhusu michango hiyo.
Ukweli ni kwamba, jambo hilo LINAKERA sana hasa katika kipindi hiki cha vyama vingi.
Ni makosa KISHERIA KUMLAZIMISHA mtumishi yeyote KUCHANGIA Mwenge wakati CCM ina bajeti yake yenyewe Hili ni lazima liangaliwe upya katika siasa ZILIZOBADILIKA.
Maana tunaenda na wakati.
Kwa hapa nilipo ni wafanyakazi woote lazma kuchangiaNi wafanyakazi wote mnachangishwa mkuu au iko vp?
Sawa, kwann ss iwe ss tu serikali za mitaa na siyo kuu, tafadhWanaochanga ni kutoka serikali za mitaa chini ya mkurugenzi ila wa serikal kuu hawachangi