Pawaga JF-Expert Member Feb 14, 2011 1,349 1,011 Jun 13, 2017 #1 Published on May 26, 2017 Akizungumza Mjini Geita, Aliyekuwa Waziri mkuu Wa Serikali ya Awamu Ya nne Edward Ngoyai Lowasa, Ameahidi Kupitia upya mikataba ya Madini Wakuu angalieni hiyo video Attachments VID-20170613-WA0005.mp4 514.5 KB · Views: 26
Published on May 26, 2017 Akizungumza Mjini Geita, Aliyekuwa Waziri mkuu Wa Serikali ya Awamu Ya nne Edward Ngoyai Lowasa, Ameahidi Kupitia upya mikataba ya Madini Wakuu angalieni hiyo video
Chibudee JF-Expert Member Dec 28, 2016 1,775 2,400 Jun 13, 2017 #2 Ccm wanasera sasa wana copy na ku pest tu
BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,508 11,892 Jun 13, 2017 #3 Ccm huwa wanadandia Lori Kwa mbele!hawajui limeanzia wapi ili mradi kuwahadaa wadanganyika
Cannibal OX JF-Expert Member Aug 27, 2014 3,159 3,546 Jun 13, 2017 #4 Kila mtu alilisema hata mimi nilisema sana labda hukunisikia.
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,010 28,111 Jun 13, 2017 #5 KWA HIYO NYWELE NYEUPE,ROHO NYEUPE NA PIA NI MTABIRI MWEUPE PIA???
Mgodo visa JF-Expert Member Nov 1, 2016 3,590 3,626 Jun 13, 2017 #7 Mimi nimeliongolea kweli....sikupata bahati ya kurekodiwa..!!
comred JF-Expert Member Jan 17, 2011 1,867 1,604 Jun 13, 2017 #8 kumbe hawa maficii ni maplagarist.. wamekopiii na sasa wanajiita wazalendo... hahahaaaa...
WAZIWAZI JF-Expert Member Mar 10, 2014 1,815 1,575 Jun 13, 2017 #9 hata mimi nimeliongelea sana sema bahati ya kulekodiwa ndo sikupata