Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
Ni aibu sana madiwani wanapoweka masharti ya tenda ambayo inawanyima watanzania fursa ya kukusanya mapato kwa ajili ya serikali. Wakati huo huo tukishuhudia mashine za risiti zikinunuliwa na City Council of Dar Es Salaam na si KAPS. KAPS imekubali kukusanya ushuru wa mahegesho kwa masharti haya.
Iwe sh.500/- kwa saa kwa masaa 10. kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni. siku za jumatatu - ijumaa. saa 2 asubuhi hadi saa tisa. Siku za jumamosi.
Hivi kwa sheria za kazi hapa Tz nani anafanya kazi hadi mda huo kisheria hapa Tz? TLS hawauoni uonevu huu kwa wakazi wa city centre na kariakoo ila vyeti vya Makonda!!!
Jiji wenyewe wenye kuweka sheria hii wao haiwagusi magari yao yako salama. Ukimtazama mwenye maumivu ni mkazi wa posta na kariakoo ambaye anaishi kwenye majengo yasiyo na mahegesho ili hali sheria inahitaji kila jengo refu kuwa na mahegesho kwa ajili ya wakaazi wake.TLS mpo? lakini mainjinia wa City nidhahiri walipokea rushwa kubadili ramani za majengo ili mahegesho yasiwekwe.
Na kupaa kwa ushuru wa mahegesho. Matokeo yake ni kupanda kwa bidhaa nchi nzima. Kwani uchumi wa tanzania umeshikiliwa na hawa wafanyabiashara waishio maeneo haya makuu mawili.
Meya anaisifu KAPS kwa kuongeza makusanyo tofauti na NPS!!! Nina wasi wasi na elimu ya meya huyu. NPS walikusanya kwa sh.300/-kwa saa. kwa muda wa masaa 9 kiasi cha sh.2700/- kwa siku.
Jumamosi ilikuwa masaa 6 =sh. 1800/-. KAPS inakusanya sh.500/- kwa muda wa masaa10 kiasi cha sh. 5,000/- kwa siku. na jumamosi sh. 3,500/-. Kwa nini jumamosi?kwa sababu biashara zinafunguliwa saa 4 kwa ajili ya usafi.
HUU NAO NI UKANDAMIZI KWANI JIJI LINATOZA USHURU WA USAFI KILA MWEZI KWA NINI MADUKA YAFUNGWE? TLS mpo? wafanyabiashara waliona ni bora kufidia muda huo wa saa 2 - 4. KAPS nao wanaongeza muda. Bila kujali kuwa kuna wakaazi wanalaza magari yao nje barabarani.
Ushauri wangu kwa TLS haya ndiyo mambo ya kuyafanyia utafiti na kuyapeleka mahakamani kwa niaba ya wananchi na hata kuyatafutia sheria huko bungeni. kwa kosa dogo la kuongez sh.200/- kwenye parking sasa limeleta inflation. Angalieni bei za bidhaa toka Desemna 2, 2017.
Asanteni.