Kwa nin asilaumiwe wakati katiba kaifunika, oooh hakuna ajira wakati kuna watu wanataka wafie madarakan.Wakati mwingine, wenyewe wanapenda kuongezewa muda baada ya kulewa madaraka na wakati mwingine Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda!!
Kwa Jaji Mkuu (JM) katiba haimpi nafasi raisi kumwongezea Muda baada ya kufikisha umri wa miaka 65Wakati mwingine, wenyewe wanapenda kuongezewa muda baada ya kulewa madaraka na wakati mwingine Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda.
Viongozi wengi waandamizi waliokuwa wanategemewa kustaafu kuanzia February mpaka July Mwaka huu wameongezewa muda wa Miaka miwili yaani mpaka Mwaka 2025, ni wengi mno ukiachana na Jaji Mkuu.
Kwa uchache,ni kuwa hata yule mama ya Sensa Chuwa naye ameongezewa Miaka 2, hata huyu Kamanda wa Kanda Maalumu DSM naye ameongezewa Miaka 2 mpaka 2025, Listi ni kubwa mno.
Kwa hiyo,tusimlaumu kwa hili la Jaji Mkuu, inawezekana Kuna sababu za ndani Sana ambazo zimemfanya amuongezee muda Kidogo huku akiendelea kufanya vetting!
Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
Kinacho jadiliwa hapa sio kuongezewa muda kwa watumishi. Bali hija ni kwamba katiba hairuhusu jaji mkuu kuongezewa muda.Wakati mwingine, wenyewe wanapenda kuongezewa muda baada ya kulewa madaraka na wakati mwingine Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda.
Viongozi wengi waandamizi waliokuwa wanategemewa kustaafu kuanzia February mpaka July Mwaka huu wameongezewa muda wa Miaka miwili yaani mpaka Mwaka 2025, ni wengi mno ukiachana na Jaji Mkuu.
Kwa uchache,ni kuwa hata yule mama ya Sensa Chuwa naye ameongezewa Miaka 2, hata huyu Kamanda wa Kanda Maalumu DSM naye ameongezewa Miaka 2 mpaka 2025, Listi ni kubwa mno.
Kwa hiyo,tusimlaumu kwa hili la Jaji Mkuu, inawezekana Kuna sababu za ndani Sana ambazo zimemfanya amuongezee muda Kidogo huku akiendelea kufanya vetting!
Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
Naielewa hii,Kwa Jaji Mkuu (JM) katiba haimpi nafasi raisi kumwongezea Muda baada ya kufikisha umri wa miaka 65
Hapo mzee hakuna kitu ni sanaa tu, ukiangalia ni wangapi walioongezewa mkataba wakati wanatakiwa kustaafu, inakuwa as if hatuna wataalam wengine kama enzi za Nyerere.inawezekana alichelewa kupelekwa taarifa ya kustaafu kwa JM,kwa hiyo anataka apate muda mrefu wa kumuandaa na kumuelewa JM anayefuata!!
Unataka kusema suala la kustaafu mtu kama jaji mkuu ni suala la ghafla?inawezekana alichelewa kupelekwa taarifa ya kustaafu kwa JM,kwa hiyo anataka apate muda mrefu wa kumuandaa na kumuelewa JM anayefuata!!
Kwa mantiki hii 👆 bas urais Tanzania ni kitu ambacho sio issue ni nafas ya kawaida tu!!Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda.
Haiwezekani kusema hakuna anayefaa kumrithi. Kwahiyo akifa nafasi yake itakaa wazi?Naielewa hii,
Inawezekana kwa Majaji waliopo ameona hawana sifa hiyo kwa Sasa au wanakaribia umri wa kustaafu!!,Kumuongezea muda JM inawezekana ikawa ni muda wa kumtafuta mtu sahihi ambaye anaweza kushika nafasi hiyo kwa muda mrefu Kidogo!!,
La Kamanda wa Polisi kanda Maalum Dar es salaam amevunja kifungu gani cha Katiba? Sheria ya Polisi na Polisi wasaidizi iko Wazi kuhusu Hilo na Hakuna aliyelilalamikia siyo kwamba hatujui.Wakati mwingine, wenyewe wanapenda kuongezewa muda baada ya kulewa madaraka na wakati mwingine Rais anazidiwa na wapambe wa hao wanaoongezewa muda.
Viongozi wengi waandamizi waliokuwa wanategemewa kustaafu kuanzia February mpaka July Mwaka huu wameongezewa muda wa Miaka miwili yaani mpaka Mwaka 2025, ni wengi mno ukiachana na Jaji Mkuu.
Kwa uchache,ni kuwa hata yule mama ya Sensa Chuwa naye ameongezewa Miaka 2, hata huyu Kamanda wa Kanda Maalumu DSM naye ameongezewa Miaka 2 mpaka 2025, Listi ni kubwa mno.
Kwa hiyo,tusimlaumu kwa hili la Jaji Mkuu, inawezekana Kuna sababu za ndani Sana ambazo zimemfanya amuongezee muda Kidogo huku akiendelea kufanya vetting!
Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
Ukimpa mbabe, halafu kanyooka, lazima uite maji mmaKwenye Suala hili hata JPM alimkaimisha kwanza,then akateua!!
Kwani aliogopa nini?