Hili la China kutaka kujenga Nuclear Power Plant ndani ya Tanzania limekaaje?

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,073
IMG_1854.JPG
A nuclear power plant made in China? No thanks we'll pass!
 
Kuna mengine tuwaachie wenyewe. Wanataka Tanzania iwe nchi ya majaribio. We still have a long way to go viwanda vya toothpick bado tuanze na hili mmmh wachina wasitufanye sie mabwege.
 
Umeniliza kwa majonzi mkuu...."These is"!!!!! Tujenge mazingira ya kuheshimu lugha za watu,Kiswahili kitamu sana.
Hahahaha my apologies I must have been high on something. Metaphorically speaking nisije nikakamatwa!
 
Itafaa sana,sababu uranium tunayo hapahapa,tutauza umeme kama njugu kwa hiyo technology, na umeme utakuwa bei rahisi sana yaani utashuka kama 75%
 
Ni power plant mkuu sii vinginevyo.

iyo vinginevyo ndo target yetu, we need to manufacture those weapon, dunia ya leo ili tueshimiane tz tuingie huko huko, wapo wanafunzi kibao wamesomea hayo maswala ajira hakuna
 
iyo vinginevyo ndo target yetu, we need to manufacture those weapon, dunia ya leo ili tueshimiane tz tuingie huko huko, wapo wanafunzi kibao wamesomea hayo maswala ajira hakuna
Not going to happen boss. Tanzania cannot withstand economic sanctions that we should expect to be slapped with. The world is moving away from nuclear. Let us use that money to invest in clean energy sources; geothermal, hydro, wind and solar.
Ila if we were to develop into a nuclear state, labda under the context of the East African Federation lakini sio kwa Tanzania kivyake. Kama Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki ikija kuundwa ningependekeza maswala yote ya atomic energy yawe ni maswala ya muungano (federal matters)
 
Back
Top Bottom