sawasawaNinadhani wahitimu watakuwa wakufunzi wa madrasa na si kuongoza swala.
hiyo siyo maana ya imam, pokea mabadiliko kama mnavyokubali kupokea misaada kutoka kwa waislam wenzenuNinadhani wahitimu watakuwa wakufunzi wa madrasa na si kuongoza swala.
Kwa taarifa tu kama ulikuwa haujui: UISLAM NI DINI ILIYOKWISHA KUKAMILIKA na wala haihitajii mabadiliko, ukiachana na hivi vitimbi vya wamagharibi katika dunia hakuna jipya litakalokuja kubadilisha mtazamo wa uislam, yaani kama zamani maimam walikuwa wanaume basi sasa tuweke na wanawake kutokana na haki sawa, aah NEVER!!hiyo siyo maana ya imam, pokea mabadiliko kama mnavyokubali kupokea misaada kutoka kwa waislam wenzenu
Hakuna kitu km hicho kwa misaada yao ndo walete Imam wa kike haiwez tokea kwa tz labda kwao huko hukohiyo siyo maana ya imam, pokea mabadiliko kama mnavyokubali kupokea misaada kutoka kwa waislam wenzenu
Scholarship yenye vigezo vya kidini
naunga mkono maneno yako, ni maneno sahihi ya mfia dini kwa kuwa hawezi kuona maovu yanayofanywa na wafia dini wenzie kwa kivuli cha kutekeleza mema ya dini: Taarifa, Kharif albagdad ameuawa juzi kwa makombora ya makafir wa Moscow.Wanawake watakuwa maustadhat wakimaliza,maana wanawake hawaswalishi,imam ni kiongozi wa msikiti,anayeswalisha.hakuna imam wa kike ni kwamba atakuwa anafundisha wanawake madrasa na dini.pili wewe unahangaika nini na dini sio yako?ukitaka kuujua uislam huwez kuujua ukiwa naswara,ingia kwenye uislam tukufundishe mambo mazuri,njoo kwenye nuru,njoo kwenye ukweli.Hebu google yule mwanajeshi wa marekani alivyosilimu kule guantanamo ujue ni kwa nini!
Na uislam umejitenga mbali na fitna za mambo ya ugaidi. hiko ni kimvuli kibaya anachokitumia mmarekani kuangamiza uislam kwa maslahi yake. Akina baghdad, Zawahri na wenziwao si katika waislam na matendo yao tunayapinga vikali, soma mambo mengi mkuu usitegemee BBC pekee iwe ndio chanzo chako kikuu cha habari za dunia.naunga mkono maneno yako, ni maneno sahihi ya mfia dini kwa kuwa hawezi kuona maovu yanayofanywa na wafia dini wenzie kwa kivuli cha kutekeleza mema ya dini: Taarifa, Kharif albagdad ameuawa juzi kwa makombora ya makafir wa Moscow.
Kama wafia dini wanaowaombea waisrail na kuziba macho ushoga waonaunga mkono maneno yako, ni maneno sahihi ya mfia dini kwa kuwa hawezi kuona maovu yanayofanywa na wafia dini wenzie kwa kivuli cha kutekeleza mema ya dini: Taarifa, Kharif albagdad ameuawa juzi kwa makombora ya makafir wa Moscow.
Ujerumani ni katika wamagharibi wenye kueneza fikra chafu dhidi ya uislam ili kuupa taswira mbaya katika sura ya dunia