S slmmfm JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 304 Reaction score 65 Oct 5, 2014 #1 Ni muda gan tokea kuambukizwa virus vya ukimwi mgonjwa anaweza kupimwa na kugundurika???
wejja Senior Member Joined Nov 1, 2011 Posts 126 Reaction score 16 Oct 5, 2014 #2 Inategemea na aina ya ukimwi. Ule wa sauz ni ndani ya wiki mbili tu unaanza kuharisha
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,781 Oct 5, 2014 #3 Ndani ya masaa manne tu unaanza kuharaaa mbaya chalii yangu.
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 Oct 5, 2014 #5 Nafikiri ni baada ya miezi 3. Jambo la kuzingatia ni kuacha zinaa kwani zinaa ni mbaya inaua kipole pole
Nafikiri ni baada ya miezi 3. Jambo la kuzingatia ni kuacha zinaa kwani zinaa ni mbaya inaua kipole pole
S slmmfm JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 304 Reaction score 65 Oct 5, 2014 Thread starter #6 sammollel said: Miezi mi tatu Click to expand... Gud! Hata mim nilikua nafikilia hvyo
I iMind JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,156 Reaction score 5,265 Oct 5, 2014 #7 jembe afrika said: Ndani ya masaa manne tu unaanza kuharaaa mbaya chalii yangu. Click to expand... wejja said: Inategemea na aina ya ukimwi. Ule wa sauz ni ndani ya wiki mbili tu unaanza kuharisha Click to expand... Mulugo type. Duh yaani unaulizwa kingine na una jibu kingine.
jembe afrika said: Ndani ya masaa manne tu unaanza kuharaaa mbaya chalii yangu. Click to expand... wejja said: Inategemea na aina ya ukimwi. Ule wa sauz ni ndani ya wiki mbili tu unaanza kuharisha Click to expand... Mulugo type. Duh yaani unaulizwa kingine na una jibu kingine.
wejja Senior Member Joined Nov 1, 2011 Posts 126 Reaction score 16 Oct 5, 2014 #8 iMind said: Mulugo type. Duh yaani unaulizwa kingine na una jibu kingine. Click to expand... No, mi ilikuwa enzi za Jackson Makweta
iMind said: Mulugo type. Duh yaani unaulizwa kingine na una jibu kingine. Click to expand... No, mi ilikuwa enzi za Jackson Makweta
youngkato JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 3,638 Reaction score 3,641 Oct 5, 2014 #9 slmmfm said: Ni muda gan tokea kuambukizwa virus vya ukimwi mgonjwa anaweza kupimwa na kugundurika??? Click to expand... kuna vitoto vinazaliwa nao mpaka vinabalehe bado vina nguvu, ukimwi haupimwi kwa macho
slmmfm said: Ni muda gan tokea kuambukizwa virus vya ukimwi mgonjwa anaweza kupimwa na kugundurika??? Click to expand... kuna vitoto vinazaliwa nao mpaka vinabalehe bado vina nguvu, ukimwi haupimwi kwa macho
yenyewe JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 621 Reaction score 94 Oct 6, 2014 #10 youngkato said: kuna vitoto vinazaliwa nao mpaka vinabalehe bado vina nguvu, ukimwi haupimwi kwa macho Click to expand... Hivi mtu anaeza kuzaliwa na ukimwi akafikisha miaka 20 kabla haujaonekana kwa macho?
youngkato said: kuna vitoto vinazaliwa nao mpaka vinabalehe bado vina nguvu, ukimwi haupimwi kwa macho Click to expand... Hivi mtu anaeza kuzaliwa na ukimwi akafikisha miaka 20 kabla haujaonekana kwa macho?
I IDyangu Member Joined Apr 24, 2014 Posts 99 Reaction score 22 Oct 6, 2014 #11 slmmfm said: Ni muda gan tokea kuambukizwa virus vya ukimwi mgonjwa anaweza kupimwa na kugundurika??? Click to expand... Ni baada ya miezi mitatu hadi sita kwa uthibitisho zaidi.
slmmfm said: Ni muda gan tokea kuambukizwa virus vya ukimwi mgonjwa anaweza kupimwa na kugundurika??? Click to expand... Ni baada ya miezi mitatu hadi sita kwa uthibitisho zaidi.