Hili kabila litanikosesha mke

Omba usikutane na Demu limbukeni wa kisukuma ....... yaani wanagawa hao!!! nasikia anaonja kila ladha ili wakifika huko kwao anasimulia wenzake.
 
Sawa umetaja tu upande mmoja wa Wayao Kabila la " Bi Mkubwa " wangu, Je vipi kwa Wazanaki ambalo ndilo Kabila langu la " Kiumeni? "
Sijawahi kukutana na kabila la upande wako wa kiumeni so I have no comment(s)
Lkn mhhhh si wapo mkoa wa Mara hawa?Kule hamna shida mwanamme kupata mpenzi siku kafika hiyo hiyo mbona?Au wale tunaokutana nao pale Kyabakari ni wa Ngoreme?

Wale hawana noma!
 
 
Acheni kuhukumu! Suala la kuchapiwa au la demu kujirahisisha halina kabila! Ni taabia ya mtu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…