Hili Jumba litaipendezesha sana, Dodoma yetu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Nimevutiwa sana na usanifu wa hili Jengo, linaakisi kabisa mazingirya yetu, bila ya shaka Dodoma yetu itapendeza likikamilika, ni Makao Makuu ya Ofisi za Takwimu Tanzania!

14-384d972d46.jpg
 
Nimevutiwa sana na usanifu wa hili Jengo, linaakisi kabisa mazingirya yetu, bila ya shaka Dodoma yetu itapendeza likikamilika, ni Makao Makuu ya Ofisi za Takwimu Tanzania!

14-384d972d46.jpg
Sawa mkuu,ila tunataka utendaji,sio majengo,maana hao jamaa huwa data zao mm.
 
Ndio awamu hii tabia zake!!
Imeweka Mawe ya msingi kwenye barabara hewa ubungo, na reli hewa!!!
 
Hawa si ndo wale wanaosemaga yakuwa uchumi wa inchi yetu umekuwa kwa asilimia 10,wakati sembe 2300
 
The building looks like a repurposed failed monstrosity retro spaceship.
 
Back
Top Bottom