Hili jua kali Dar sio mchezo

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
5,082
Reaction score
20,806
Dar kwa sasa ni kama mji mkuu wa Dudan, Khartoum kwa joto na jua kali.

Siku hizi chachr kumekua na jua kali hatari. Sa 11 jioni jua lake kama la sa 7 mchana, hii ni hatari.

Ni mabadiliko na hali ya hewa au ni jitihada za viongozi wetu?
 
Kuna mwanza mzee linawaka vibaya mno yaani mida ya saa 3 asubuhi jua ni kali Kama la saa 7 linapiga mwendo huo mpaka saa 11 jioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar kwa sasa ni kama mji mkuu wa Dudan, Khartoum kwa joto na jua kali.

Siku hizi chachr kumekua na jua kali hatari. Sa 11 jioni jua lake kama la sa 7 mchana, hii ni hatari.

Ni mabadiliko na hali ya hewa au ni jitihada za viongozi wetu?
Ni mabadiliko ya hali ya hewa mkuu sio Dar tuu hata Zanzibar hali ni hiyo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jua dar linawaka si mchezo yaani ngoma inapiga hadi saa kumi na mbili, saa moja jioni kuna mwanga kabisa...

Serikali ya wanyonge ijaribu kuingilia kati, Serikali tunaomba mpeleke vikosi ya jeshi huko angani vikapambane na hili jua, najua Dr John Pombe Magufuli hashindwi kwa hili, kama ACACIA tumewalaza chali, who is jua?
 
Mkuu huu ni mwezi wa pili hesabu siku 28 za jua hili kali
 
kwenye daladala SAA mbili hii...huu upande Wa jua kila MTU kaukimbia jinsi linavyochalaza......Lina ghadhabu utafikiri limekimbiwa na mke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…