hili jino linataka kunitia majaribuni

Miss Neddy

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
14,684
Reaction score
8,760
saluuuuuuuuuuuuuuuuuti

heshima kwenu wadau kwanza niwape pole na uchovu wa xmas

back to the topic wakuuu mwezenu naumwa jino mpaka limenibadilisha sura nimenona upande mmoja yaaani xmas yote nimelia ndani
sasa kuna shemeji yenu anaishi mkoani xmas hii alikuja kwa ajili yangu lakini tulishindwa kuonana kutokana na hili tatizo ikabidi arudi zake mkoani kwa hasira maana nilimwambia naumwa but sikumwambia kama ni jino

jamani naomba mnisaidie dawa gani nitumie kupunguza uvimbe angalau mwaka mpya mungu akijalia nile kwa amani

pleaseeeee nahitaji dawa angalau ya kupunguza uvimbe na sio ushauri wa kung'oa kwa sababu jino ni la mbele siwezi kung'oa

mungu awabariki
 
Nenda kwa daktari mkuu,jitahd umcheki mtaalam,ww toka cricmas ungekua umemuona dk ungekua ushapata ufumbuz umekaa tu ndan,weka aibu pemben,toka na uso wako uliovimba uende kwa dkt
 
Nenda kwa daktari mkuu,jitahd umcheki mtaalam,ww toka cricmas ungekua umemuona dk ungekua ushapata ufumbuz umekaa tu ndan,weka aibu pemben,toka na uso wako uliovimba uende kwa dkt


ahsante nitajitahidi
 
Tumia nyundo ama ulizamishe kama nchumali au lichomoe kama nchale. Unaishi karne gani ati?
 

mtafute kaseba akupige ngumi halafu hiyo hela ya dawa ujipoozee na chochote..
 
Muone dr wa meno hilo jino litapata ufumbuzi kwani hawawezi kuling'oa likiwa limevimba lazima utibiwe uvimbe kwanza. Wengi hutumia antibiotic lkn mpaka uandikiwe na dr . Hilo jino linaonyesha lina infection. Nenda muhimbili au hindu mandal au hospt zingine nyingi tu na kwa siku chache ukianza kutumia dawa utaona mabadiliko.
 
Shemeji huwa haingii JF? Jana mm nimeng'oa la juu linalosaga......ng'oa tu utaweka la bandia
 
Tare22 kabla ya christmass nimeng'oa lakwangu ambalo nigego liliniuma sana mkuu atakuangalia cm kama wewe jf nafkiri sikuona kama kuna anaeweza kunishauri tofauti na kuling'oa,kwaiyo minaona bado alijakuuma vizuri kiasi cha kutoka usaha maskioni,sina mengi nakushaur muone daktari kwaushauri mzuri
 

ohoooo ubarikiwe kwa ushauri wako
 
Shemeji huwa haingii JF? Jana mm nimeng'oa la juu linalosaga......ng'oa tu utaweka la bandia

anaingia sana ila hajui id yangu me ndo najua yake anyway ntafanyia kazi ushauri wako ahsante
 

tatizo liko mbele mkuuu litaniharibia show nikiling'oa
 

Ukipata nafuu,tumia dfp dawa ya meno na mouth wash,huttasikia kwa bomba maumivu ya jino
 
Jino lina uhusiano na papuchi?dawa ya jino ni kung'oa lakini mengine ni ya kuziba tu.
 
Hujaumwa jino wewe bado,likichachamaa utaitafuta hospitali..

Dawa ya jino ni kung'oa..pole sana

Labda jf dokta wangeweza kukusaidia
 
Pole sana,jino linatesa sana hapo hakuna msaada zaid ya kwenda hosptal,tena nakushaur uende muhimbili.
Lakn cjaelewa yan haujaonana na shem kisa jino?au ksa sura imevimba?mmeanza kudate juz?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…