Hili jani ni kiboko ya chango kwa vichanga

Kumbe ni gas!!
Ndio!!
ndio mana unashauriwa kuwa unamcheulisha mara kwa mara mtoto kwani humeza hewa nyingi wakati wa kunyonya pia Ni vizuri kumchua kwa mafuta tumbo kusaidia kuipunguza
Kadhalika mkao mzuri wa mama wakati wa kunyonyesha Ni kitu Cha msingi
 
Hivi chango huwa ni ugonjwa gani, huwa najaribu kudadisi sipati jibu la kuridhisha
Yani katoto ka kiume kanapozaliwa zile pumbu zake zinakuwa ziko juu ndani ya mwili sa zinatiwa zishuke chini nje,kitendo hicho kinapofanyika kanakuwa kanapata maumivu makali sana,katalia balaa.hill linaitwa chango .
 
[emoji23][emoji23]mkuu ilo SI ngiri
 
Yani katoto ka kiume kanapozaliwa zile pumbu zake zinakuwa ziko juu ndani ya mwili sa zinatiwa zishuke chini nje,kitendo hicho kinapofanyika kanakuwa kanapata maumivu makali sana,katalia balaa.hill linaitwa chango .
Wa kike je chango lao likoje
 
Ndio ngiri la uzazi?
Na hivi ngiri si korodani kuvuta ndani?
Wanawake nao wanakorodani la uzazi interesting
Ameuliza ndio ngiri la uzazi akajibiwa wanawake pia wana chango la uzazi.
Anapata maumivu ya tumbo kabla kuingia kwenye siku zake.

By the way pata msaada wa google mi nshapata tafsri ya chango ni nini kwa watoto wachanga,ni msokoto wa tumbo kwa watoto wa kuanzia wiki mbili had I miezi minne,inatikana na vyakula anavyokula mama wakati wakunyonyesha vinaleta gesi mtoto tumboni,eg mama anaekula mtori kwa wingi,au mtoto anaenyweshwa aina Fulani ya maziwa ya kopo.
 
Na hapa ulizungumza nini?
Ukawa mwanzo wa maswali yangu jua si kila anayekuliza afahamu jibu
Screenshot_20210430-222902~2.jpg
 
Back
Top Bottom