Wanamuachia ATM cards na PIN numbers zao?Aliyekwambia huyo ni MWALIMU ni Nani? Huyo ni mkopeshaji wa riba kubwa, hapo wadeni wamemwachia ATM Cards kwa riba ya 30%permonth na inatozwa mseleleko. Hiyo ndo hali ya watumishi wengi nchini.
Daa kumbe kuna hiki kitu tz?Aliyekwambia huyo ni MWALIMU ni Nani? Huyo ni mkopeshaji wa riba kubwa, hapo wadeni wamemwachia ATM Cards kwa riba ya 30%permonth na inatozwa mseleleko. Hiyo ndo hali ya watumishi wengi nchini.
Wanamuachia ATM cards na PIN numbers zao?
Dah, lazima nikubali hii style nilikuwa sijaisikia.Ndio,, ukiwa na shida ufahamu unakimbiaga wakti mwengine
Ndiyo! Mshahara ukitoka anaenda kuchukua chake! ATM card is kinda a bond! Ila huwa ni waaminifu hawa wakopeshajiWanamuachia ATM cards na PIN numbers zao?
Vyama vya wafanyakazi vipo lkn kwa usawa huu ukiweka UGOKO wao wanaweka JIWE.Dah, lazima nikubali hii style nilikuwa sijaisikia.
Naelewa mtu anaweza kumuachia mumewe/ mkewe au mtu wa karibu katika familia card na PIN. Hii ya kumuachia mtu baki aliyekukopesha ni mpya kwangu.
Inaonesha ni jinsi gani tuna tatizo. Mishahara haiwatoshi watu kuishi maisha ya kawaida kabisa, pengine haitolewi kwa wakati.
Inatakiwa kuwe na sheria kuzuia haya. Kuwe na vikundi vya jumuiyaza wafanyakazi kupinga maisha haya.
Sidhani kama huwa anaachiwa na pinWanamuachia ATM cards na PIN numbers zao?
Sasa bila PIN card inamsaidia nini hapo kwenye ATM machine?Sidhani kama huwa anaachiwa na pin
Sijui labda kwingine ila naowafahamu mm huwa hawaachi pin,sijapeleleza pia huwa inasaidia nn sanasana maana ukitaka unamgeuka tuSasa bila PIN card inamsaidia nini hapo kwenye ATM machine?
Kama ni ATM card tu si mtu anaweza kumuachia halafu anaripoti imepotea anapewa nyingine?Sijui labda kwingine ila naowafahamu mm huwa hawaachi pin,sijapeleleza pia huwa inasaidia nn sanasana maana ukitaka unamgeuka tu
Dah, lazima nikubali hii style nilikuwa sijaisikia.
Naelewa mtu anaweza kumuachia mumewe/ mkewe au mtu wa karibu katika familia card na PIN. Hii ya kumuachia mtu baki aliyekukopesha ni mpya kwangu.
Inaonesha ni jinsi gani tuna tatizo. Mishahara haiwatoshi watu kuishi maisha ya kawaida kabisa, pengine haitolewi kwa wakati.
Inatakiwa kuwe na sheria kuzuia haya. Kuwe na vikundi vya jumuiyaza wafanyakazi kupinga maisha haya.
Sasa bila PIN card inamsaidia nini hapo kwenye ATM machine?