Manun'guniko
Senior Member
- Jul 23, 2014
- 155
- 59
Mama yako amekukosea sana..Hata kama mlikua hamuelewani sio sababu ya kuongea maneno hayo wakati wa kipindi kigumu kama hicho. Wewe msamehe tu na Mungu atakusahaulisha yote
Huyo mama ni katili kama mchawi hastahili kufananishwa na Mungu wake duniani hastahili hiyo heshima kuu.Mama si mungu na hawezi kuwa mungu wala mzazi yeyote hawezi pata nafasi ya umungu kwa namna yoyote
hekima ya mungu haipimiki hata kidogo na mungu hawezi fanya makosa ya dhihaka namna hiyo, mungu hafikiriki
mama yako ana makosa sana na imeniuma kwa kweli
Mama ni Mungu wa Pili katika dunia hii. Hakuna kitu kibaya kama kumchukia Mama. Unachopaswa kufahamu kuwa hakuna mwanadanu aliyekamilika. Hivyo uambie moyo wako kuwa huyu ni mama yangu na vyovyote itakavyokuwa atabaki kuwa mama yangu. The rest mwachie Mungu. Hata kama utaamua kumchukia haitasaidia. Nakusihi mlipe kwa wema hadi ajue kama wewe unampenda hata kama yeye hakupendi. Ukifanya hivyo Mungu ipo siku atakufanyia wepesi katika mambo yako na familia yako kwa ujumla.
Wahenga wakisema: mpe mchawi akulelee mwanao...