Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 991
Kama unauwezo ufute mbona kieleele kng?Uzi kama huu na mwandiko huo huo ulishaletwa humu miezi kadhaa imepita, Naomba ufute tu hauna haja.
Kama unauwezo ufute mbona kieleele kng?Uzi kama huu na mwandiko huo huo ulishaletwa humu miezi kadhaa imepita, Naomba ufute tu hauna haja.
Kweli kabisa mama Dickson, ipo siku nitakukumbusha sababu nina uhakika umeshasahau wema ulio utenda kwa babaake DickUmeanza baba dickson
Hapa unaonekana umejiunga JF tarehe 15/6/2019 na huu uzi ulitumwa siku moja tu baada ya wewe kujiunga JF yaani 16/6/2019. Mengine nitamalizia baadaeUzi huu mbona ulishawahi kuletwa humu kitambo
Nilikuwa GUEST muda mrefu sanaHapa unaonekana umejiunga JF tarehe 15/6/2019 na huu uzi ulitumwa siku moja tu baada ya wewe kujiunga JF yaani 16/6/2019. Mengine nitamalizia baadae
Aiseee ngoja nifunge safari niende huko, nitaleta mrejesho.
Hapo wananuka hizo nywele wananuka jasho wachafuwachafu tu hata hawatamanishi kwa kweli lakini utakuta wanaume wamo tu kha hizo sehemu wanazolala ndio kabisa khaKabila la OVAHIMBA ambalo linapatikana kaskazini mwa Namibia katika mikoa ya Kunene na Omusati, bado wana utamaduni wa kuwapokea au kuwakaribisha wageni wa kiume kwa kufanya mapenzi wakiamini kuwa hiyo ndiyo heshima anayostahili mgeni.
Kwa mujibu wa mila zao, mgeni anapowasili kwa siku ya kwanza kama ilivyo kawaida huandaliwa chumba na kisha hupewa mwanamke/binti ambaye hajaolewa kwenye familia kulala na mgeni kitanda kimoja kwa siku ya kwanza.
Na kama kwenye familia aliyofikia mgeni hakuna mwanamke ambaye hajaolewa basi wanaume wa familia hiyo hupiga kura ili mmoja wao kumuachia mgeni chumba chake alale na mkewe. Iwapo mwanaume huyo nyumba yake itakuwa na chumba kimoja na sebule basi atamuachia mkewe alale na mgeni chumbani kwake.
Kwa maelezo ya makala iliyochapishwa na mtandao wa Shirika la Habari la AP, imeelezwa kuwa wanawake huwa hawana njia ya kukataa maamuzi hivyo moja kwa moja hutii maamuzi ya wanaume kwenye jamii yao. Asubuhi mwanamke ambaye amelala na mgeni hukaguliwa kama alishiriki tendo la ndoa na kama hakushiriki huongezewa usiku mwingine.
Kwa wageni wa kike hao huachwa walale na watoto na huwa hawafanyiwi chochote. Kabila hilo ambalo linaamini mpaka sasa kifo kama wanavyoita wenyewe ‘Omtiti’ husababishwa na wachawi kwenye jamii hizi. Kabila la Ovahimba wanaamini kuwa mwanaume yeyote hutembea na bahati, hivyo kwa kulala na mwanamke aliye kwenye familia yao huongeza bahati kwenye familia hiyo.
Kwa sensa ya mwaka 2010 kabila hilo lilikuwa na watu 50,000 na tayari serikali nchini Namibia imepanga namna ya kuiokoa jamii hiyo ya wafugaji ambayo inaishi karibia na Jangwa la Namib. Kwa upande mwingine kabila hilo wasichana huchaguliwa na baba zao wanaume wa kuwaoa na mahari huwa ni ng’ombe na asali.
View attachment 1128901