Hili genge linapatikana wapi?

sasa hizo ndizi zikiiva kupitiliza itakuaje?

hata hivyo ni ubunifu mzuri
 
alikuwa nalo chesco mzee wa matunda,alikuwa anapatikana sinza,africasana
 
Mkuu chesco bado yupo kweli na genge lake au


yule jamaa sijui sasa hv yupo wapi,inasemekana jiji lilimshinda,madeni mengi,pale hayupo,inasemekana kachoka siku hizi,hana makeke kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…