Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Msijifu wakati tu muda mwingi mna-undo hilo drafti. Halafu msilibanie muda wakufikiria mkajipendelea nyinyi. Kama wewe unatumia maximum sekunde 15 kufikiria basi na drafti liseti muda kama huo, hapo sasa ndo utajijua kama kweli ni bingwa au la. Japo kiuhalisia hata ukilifunga drafti hili kwa ku-undo wewe bado mkali.
 
Umemalizia vizuri, maana nilitaka kuuliza kama umemfunga kwa undo.
 
Screenshot_20201003-195710.png

Cc wa ukae, IFRS, radicals et Al
 
Kwakweli hata mm nimewahi kulishinda mara 3 mengine kama 100 nimechezea kipigo na kama 20 hivi nimeambulia sare.

Maana duhhhh linapiga hesabu za mbaliiii , ukiona linakupa kete ya bure usifikirie kabisa kuwa eti umelibana jua kipigo tayari.
 
Hii kopi mwamba nilimkalisha ndani ya dk2.5..japo alinipiga fosi moja ya kibabe lkn mwisho wake alikaa...
Zingatia mambo yafuatayo
1.Hakikisha hakupunji kete hata moja...kila kete unayosukuma hakikisha inabackup ya kuilinda isiliwe bure
2.Mwamba anafosi za mbali sn kwahy hakikisha upigwi fosi za kizembe...mda wowote kua makini na fosi na kupigwa tutusa ambazo zitapelekea kuounjwa kete
3.Hakikisha uchezi gemu ya kubanana kwasababu mwisho wa siku utatengeneza mimba na mwamba ni mzuri san katika kutumbua mimba...na pia ni ngumu sana kumshinda kwenye stepu
4.Usiwe na tamaa sana ya kuwai kufika king na pia usiwe mgumu sn wa kumyima kingi bila ya sababu kwasababu mabigwa uwa atunyimani kingi tunanyimana ushindi
bado napambana lakini nashindwa kabisa kumfunga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom