Nenda kiwanda cha Aluminium Africa nyuma ya radio Tanzania utayapata kwa rangi upendayo
ezekea vigae vya mbezi tiles bwana
Mambo yote ni Decra Tiles za New Zealand zinauzwa pale Nabaki Afrika, garantii miaka 50.
Mkuu hizo za New Zealand zinauzwaje?Msaada tafadhali