Hili baridi sasa too much

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
Yaani aka kamvua kanakoanza kunyesha kanaanza kuleta utata mavyumbani maana hali imekuwa sio. Jamani my wife toka uko mwezini uje juani angalau nipate kajotojoto.

cc: miss chagga
 
aisee wale wa kutiana kisa mvua hao....penda ku-do siku ukiwa na hamu sio kisa barid ya mvua ungekaa sehemu za barid lazima viagra ingekuhusu
 
hii hali ya hewa ya dar leo message tamu tamu kwenye simu tu .... baby umekula leo? baby sasa? ... leo kumbatia mto Nitoye
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
yani haka kabaridi ni balaa, natamani kutoroka hata ofisini, nikalale tu home na baby wangu tukumbatiane weeee mpaka baaas
 
Nilitaka kushangaa mie.. Leo na foleni hii ninakupitia mapema na tunabeba chakula kabisa.. hakuna kupika wala kuosha vyombo leo bebe wangu mie...
ndiyo tunalia kwenye take away .. usisahahu konyagi kubwa
 
Wapenda chini utawajua tu siku za baridi...Mungu angejua akampa kila mmoja vitu viwili ndani ya mwili wake, ukiwa na hamu unajimaliza mwenyewe...
 
Mi hii baridi inanipa mzuka wa kula chest round za kutosha, ma biceps, triceps, mashoulder yaan nazama Gym 11 jion nachomoka saa 4...Full kuiva.
 
Mvua ina Raha Yake, hasa ikinyesha Friday night, chumbani ukifushaa Udi vikuba pembeni misk kwambali mwilinii ooooooh hadi rahaaaaa..
 
Leo waweza piga engine mpaka basi,hasa ikiwa imetaiti,raha hadi utamu,
ila kama inapwelepweta kaziiiiii kweli kweli,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…