Hilary, Trump,Magufuli & Lowassa Analysis

Hilary, Trump,Magufuli & Lowassa Analysis

Copy1

Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
96
Reaction score
143
Kwa kuangalia sifa za mtu binafsi ,uelewa wa mambo, Kashfa na mambo kadha wa kadha: Hilary Clinton anafanana sana na Edward Lowassa na Magufuli anafanana sana na Trump

Kwa kuangalia mazingira ya kiushindani,uwezekano wa kupata ushindi ,Uungwaji mkono wa watu na makundi mbalimbali,Woga vs kujiamin kuwa kuna kushinda: Hilary anafanana sana na Magufuli na Trump anafanana sana na Lowassa

Do you agree or not?? if not why??
 
Trump anatumia pesa nyingi ambazo ajui atazirudishaje kwenye uchaguzi huu kama alivyofanya Lowassa ....

Hillary anaonekana ni Taasisi kama alivyokuwa Magufuli.........

Kiufupi trump alitaka kwenda ikulu kwa garama yeyote kitu ambacho naona kutashindikana.....
 
So do you agree kuwa personally Magufuli na Trump are alike, and Lowassa na Clinton are alike but kuingia Ikulu Hilary atafanana na Magufuli zaidi??
 
You Tanzanians should now get some work to do....too much talking, irrelevant issues!!
 
Back
Top Bottom