Hila ya maridhiano ya damu

Hivi hayo maridhiano yao wanapanga kufanya na nani kwa mfano? Masheikh wa Bakwata, vile vyama mamluki 16 vilivyoshiriki kwenye ule uchaguzi hewa, au!!!

Na kwenye kuunda tume ya kuchunguza kilichotokea Oktoba 29, je wako tayari kuruhusu na wachunguzi wa kutoka nje? Au ndiyo mambo yale yale ya kumpa tumbiri achunguze kesi ya nyani?
 
Mi nshangaavsana na nimetoa onyo naona uzi umefutwa hao watakao changuliwa ktk maridhiano wanarisk familia zao vijana hawana cha kupoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…