Hiki ndicho kilichomponza Zelensiky

Hiki ndicho kilichomponza Zelensiky

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,326
Reaction score
7,172
Huu mkataba hakuheshimu na kutishia kuuvunja ili awafurahishe Nato kilichomkuta na kinachoendelea kumkuta inapendeza Mkataba wa Kugawana Jeshi la Wanamaji la Bahari Nyeusi (Partition Treaty on the Status and Conditions of the Black Sea Fleet) wa mwaka 1997 uliigawa meli ya Soviet kati ya Urusi (81.7%) na Ukraine (18.3%). Urusi ililipa fidia
 
Nikajua ni yule chalii wa madawa aliyeponzwa na mwanamke wa rafiki.
 
drug money inaharibu government money system ndio maana unaona kwa mtu kama Trump anayejua uchumi hawezi kuruhusu mambo kama hayo
 
Mwaka wa nne super pawa anahangaika na ukraine hivi apo ukraine anateaeka urusi anateseka. Zaidi ya askari 1200000 wa urusi wamechinjwa pale ukraine
 
Hii vita kwakweli inamambo mengi nyuma ya pazia, kuna mahala wanatueleza lakini kuna kingine kigumu zaidi kinacho piganiwa hapo. Kibaya ktk hivi vita kunawatu wanateseka na kuumia sana na kupata vilema sababu ya mikataba flani flani waliyo ifunga kwa masalahi ya wakubwa wenyewe, tumwombe Mungu yaishe hayo.
 
Back
Top Bottom