gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,311
- 3,341
Huu ndio mtizamo wangu,
Hofu kwa wafanyabiashara wakubwa juu ya kudondoka kwa mitaji yao pamoja na serikali kuongeza makusanyo ya kodi huku ikibana matumizi sambamba udhibiti wa wizi serikali ndio chanzo cha hali ilivyo sasa.
Serikali kwa sasa imeongeza kasi ya kukusanya pesa(kodi) huku ikibana matumizi.
Binafsi nafikiri hapa ndipo ilipo siri ya huu ugumu wa maisha unaoonekana sasa kwani kwa kiasi kikubwa pesa ipo kwenye mikono ya serikali.
Juzi hapa nilisikia jambo ambalo kimsingi unaweza ona na namna gani serikali inabana matumizi hata kwenye vitu vidogovidogo labda tunaweza share pamoja,
Kuna uvumi serikali imesambaza waraka wakubana matumizi kwenye halmashauri zote nchini,miongoni mwa maelekezo kwenye waraka huo ni halmashauri kutumia bulb za energy saver na kupiga marufuku matumizi ya zile taa maarufu kama vibuyu ambazo zinakula sana umeme,pia kufanyika ukaguzi kila siku jioni kuhahakikisha viyoyozi vyote vinazimwa kabla yakurudi majumbani,
lakini pia tusisahau kwa sasa halmashauri posho hakuna tena sio kama zamani ambapo watumishi walikua wanajitengenezea mazingira yakulipana hata pasipo sababu za msingi.
Lakini pia kwa sasa kwa upande wa wafanyabiashara wakubwa wanaishi kwa tahadhari kubwa kulinda wasije wakaporomosha mitaji yao.
Itakumbukwa kwamba ukwepaji wa kodi ulishamiri sana hapo awali hivyo wafanyabiashara waliiachia huru mitaji yao hivyo kua chanzo kikubwa cha mzunguko wa pesa huku mtaani,
lakini leo ni tofauti,kwasasa kunauvumi bakharesa kupunguza wafanyakazi 500,
hii ni ishara kwamba kwa sasa wafanyabiashara pia wanapungaza kiwango cha mzungo wa pesa mitaani.
Lakini utakumbuka JK ameacha nchi kwenye makusanyo ya bilioni mia tisa (900,000,000,000) kwa mwezi,
wakati huo huo kipindi cha tawala za hapo awali kilikua ni kipindi cha neema kwa wafanyakazi wa serikali pamoja na mianya mingi sana ya wizi kupelekea pesa kua nyingi huku mtaani,
Refer escrow,richmond ama watu kama kina masa.maki ambao walidiriki kuweka pesa mpaka kwenye ma ndoo.
Ndio maana wakati ule mzunguko ulikuepo kwa kiasi kikubwa tofauti na sasa ambapo wizi umedhitiwa.
Kwa ujumla kwa sasa uchumi umeshikwa na serikali ilihali wakati ule uchumi ulikua ni 50%:50%.