Faida kwa BMembe, Tungeweza kujenga miradi hiyo mikubwa kwa garama nafuu zaidi,Grants kwa kuongea vizuri na wadau, Mahusiano ya kimataifa,na kubwa umoja na ustawi wa taifa letu. Binafsi Nimechoka sioni matumaini lugha za kibabe,visasi,kejeli na Kiburi!