Hiki ndicho ambacho Wazungu hawataki Mwafrika ajue kuhusu Afrika

Mara nyingine nakutana na jambo hili hili juu ya ukubwa wa Bara la Africa,

Mleta mada Share source tupate kusoma zaidi
 
Mbona Waarabu ndio wanaongoza Kwa ujinga?
Wapo Waarabu wengi sana Afrika, kuliko kwengine popote duniani. Sasa hilo lako halishangazi kabisa.

Tanzania tunaongoza kwa ujinga, niliwahi kuandika hivi:

View attachment 2854420
HUTAJIFUNZA HILI KATIKA SHULE YOYOTE.

° Eneo la Afrika = 30,37 milioni km2
° Eneo la China = 9,6 milioni km2
° Eneo la Marekani = milioni 9,8 km2
° Eneo la Europa = milioni 10,18 km2

● Afrika ni kubwa kuliko Ulaya yote, Uchina na Marekani kwa pamoja.

● Lakini kwenye ramani nyingi za dunia, Afrika inawakilishwa kwa udogo.

Hii inafanywa kimakusudi ili kuunda athari ya kuona ya Afrika ndogo ili kuwadanganya, kuwahadaa na kuwahadaa Waafrika popote walipo.

- Afrika ina 60% ya ardhi ya kilimo.

- Afrika inamiliki 90% ya hifadhi ya malighafi.

- Afrika inamiliki 40% ya hifadhi ya dhahabu duniani.

- Afrika, 33% ya hifadhi ya almasi.

- Afrika ina 80% ya hifadhi ya kimataifa ya Coltan (madini ya uzalishaji wa simu na elektroniki), haswa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

- Afrika ina 60% ya hifadhi ya cobalt duniani (madini ya utengenezaji wa betri za gari).

- Afrika ina utajiri mkubwa wa mafuta na gesi asilia.

- Afrika (Namibia) ina ukanda wa pwani wa samaki tajiri zaidi duniani.

- Afrika ina utajiri wa manganese, chuma na kuni.

- Afrika ni mara tatu ya eneo la China, mara tatu eneo la Ulaya, mara tatu ya Marekani ya Marekani.

- Afrika ina km2 milioni thelathini na nusu (30 875 415 km2).

- Afrika ina wakazi bilioni 1,3 (China ina wakazi bilioni 1,4 katika 9,6 milioni km2).

Maana yake Afrika IMEHUSIKA.

- Ardhi ya kilimo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina uwezo wa kulisha Afrika yote.
Na ardhi yote ya Afrika kwa kilimo ni kamba ya kulisha dunia nzima.

- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina mito muhimu inayoweza kumulika Afrika.
Tatizo ni kwamba baadhi ya watu wameiyumbisha DRC kwa miongo kadhaa.

- Afrika ni bara la utamaduni tofauti katika masuala ya ngoma, muziki, usanifu, uchongaji, nk.

- Afrika inachukua mapishi ya dawa na mimea 30.000 ambayo Magharibi hurekebisha katika maabara zake.

- Afrika ina idadi ya vijana duniani ambayo inapaswa kufikia bilioni 2,5 kufikia mwaka wa 2050.

● AFRIKA INAWAKILISHA FUTURE YA WANADAMU💖

Tunahitaji nini ili kutumia rasilimali zetu kwa ufanisi?

Imeazimwa kutoka kwa Joseph Idih(LinkedIn).
Leta jambo lenye uhakika hayo ya CCM na Chadema weka pembeni.
 
Wapo Waarabu wengi sana Afrika, kuliko kwengine popote duniani. Sasa hilo lako halishangazi kabisa.

Tanzania tunaongoza kwa ujinga, niliwahi kuandika hivi:

Na ndio hao wanaongoza Kwa ujinga Kwa sababu ya kuowana wenyewe.

Utakuta ukoo fulani NI wajinga watupu wote ni damu moja.

Au nikutajie nchi za Kiarabu zilizopo Africa?
 
The Truth

Afrika ndio continent kubwa kuliko yote, Asia ni ndogo kwa afrika, chunguza vipimo vya ukubwa.

Afrika ndio source ya Uzazi wa viumbe vyote dunian kuanzia binadamu,wananyama mpaka hao mapepo/mashetani.

Afrika ndio eneo pekee linalostahili kuitwa continent maana hayo maeneo mengine ni part tu za afrika zilizomeguka baada ya Tetemeko la ardhi lililosababisha mgawanyiko na mtengano wa ardhi.

Afrika ndio sehemu pekee ambayo Historia yake inafichwa kuliko jambo lolote lile, watu weupe wako tayari hata kuungana na maadui zao wanaotuaminisha ktk media ni wagomvi ila tu ktk suala la kuficha historia ya Afrika wako pamoja.

Hao waarabu,wazungu, warusi na watu wote weupe hawa wote ni adui wa muafrika maana ndio walioiharibu afrika na wanaendelea kuiharibu kwa kupotosha ukweli wa afrika.

Walibadiri historia ya afrika kiuchumi, mpaka kiroho kwa kutuletea dini za uongo ambazo nazo zimeundwa kwa kuiba historia za babu zetu walioishi kabla ya ujio wa hawa watu weupe.

Narudia tena, historia ya afrika na muafrika ndio jambo pekee linalofichwa kuliko jambo lolote hapa dunian, hata hao watafiti kama wanaweza kufichua habari za uwepo wa aliens na viumbe wa kusadikika huko angani why wanashindwa kutoa ukweli wa vumbuzi ama ukweli wa jamii zilizounda pyramids? Why hawasemi ukweli juu ya wakazi wa atrantica?, why hawasemi historia ya kweli kuhusu afrika kabla ya miaka 2000 iliyopita?

Why hawatoi habari kamili ya mali walizoshindwa kuziiba afrika ambazo bado ziko mapangoni na zingine walishaiba hawawaambii ukweli wa mali hizo?

Why mpaka leo maeneo waliyojengwa wakolon (shule&makanisa) ukifuatilia kuna uwepo wa mali fulan au vitu fulan vya kihistoria vinavyowafanya waendelee kurudi kuvifuatilia au wanavilinda kupitia vibaraka wao hao wachungaji na wanasiasa? Why hawatoi ukweli juu ya mali hizo zina umuhimu gani au ni vitu gani?

Why wale mashujaa waliowasumbua wakolon ktk kupambana nao baada ya hawa mashujaa kufariki baadhi ya sehemu za miili yao zilipelekwa ulaya& Asia kama sio siri kwanini waondoke na viungo vya binadamu kuna umuhimu gani wa kufanya hivyo au kuna siri?

Why hawawaambii ukweli wa kile mlichokuwa mikikiabudu kabla ya wao kuleta dini? Wanasingizia waliwakuta mnaabudu mashetan&mizimu jambo ambalo si kweli

Why mpaka leo ukolon wanatuaminisha uliisha lkn hawaishi kuifuatilia afrika na kuipangia mambo ya kufanya, kwani wanauopendo gani kwa muafrika?.

Mtu anaekunyima maarifa na kukupa mikopo huyo ni zaidi ya adui, mtu anayeikalia historia yako na kuificha huyo ni adui yako.

Ni mengi ambayo waafrika hawayajui kuihusu afrika basi kwakuwa tunaishi ktk dunia ya propaganda na uzushi mwingi ni ngumu kuwaondoa waafrika wengi ktk mtego wa utumwa wa kifikra, wengi ukiwaeleza haya mambo wanakuwa wabishi hawataki kuelewa na kujifanya wajuaji kumbr hawana wanalolifahamu.

Tuamke.
Tuamke dhidi ya mkoloni mbaya na hatari, CCM.
 
Screenshot_20231224-212412.png
 
Waafrika weusi, wengi wetu, tu wajinga sana kupita maelezo. Waliojaaliwa kufuta ujinga ni wachache sana na hawasikilizwi.
Kwahili nakubaliana nawewe, na sio Waafrika weusi ila Watu weusi popote walipo duniani ni Wajinga kuliko races zingine

Hata hapa kuna mjinga atabisha
 
Watu kama mleta mada wanatakiwa wawe wengi kiasi cha mmoja kwa 10 ili kuwaamsha waliosinzia na kulevywa na mvinyo wa ‘master’.

Huwezi kuipata kheri bila kuitambua kwanza.

Lakini ipo siku yatatimia na Bara hili litarudi kuwa family moja Kama hapo awali.
Shida ni kwamba waliosoma na wenye akili hawapend uongoz ila vilaza sasa.. ni vurumai
 
Tangia shule ya msingi tunasoma Afrika ni bara la pili kwa ukubwa baada ya Asia, sasa hao Wazungu wameficha namna gani?
Hata hivyo vipimo anavyoweka hapa mbona wazungu ndio wame calculate?😂😂

Saa nyingine ni convenience za kuchora ramani tu na sio conspiracy
Ndio ...😂asa bac afrika ni kubwa ehe...umeendelea vipi
 
kwenye ujinga wa waafrica sikatai,ila kwenye swala la ramani sio uzushi ni kweli.

africa inaonyeshwa kwenye angle ambayo sio sahihi,japokuwa ramani zote huonyeshwa africa ikiwa mbele.
Hawakupanga iwe hivyo kisa Africa cjui Nini ndo maana nasema fuatilia
 
Nimeamini sisi waafrika niwajinga.Kila siku nikutafuta lawama tu kwa wazungu badala yakutumia akili zetu kujikomboa na lindi la ufukara wa akili na mali.Sasa hizo takwimu zinatunufaisha nini karne hii wakati kila kitu bado tunawategemea hao hao wazungu.
 
View attachment 2854420
HUTAJIFUNZA HILI KATIKA SHULE YOYOTE.

° Eneo la Afrika = 30,37 milioni km2
° Eneo la China = 9,6 milioni km2
° Eneo la Marekani = milioni 9,8 km2
° Eneo la Europa = milioni 10,18 km2

● Afrika ni kubwa kuliko Ulaya yote, Uchina na Marekani kwa pamoja.

● Lakini kwenye ramani nyingi za dunia, Afrika inawakilishwa kwa udogo.

Hii inafanywa kimakusudi ili kuunda athari ya kuona ya Afrika ndogo ili kuwadanganya, kuwahadaa na kuwahadaa Waafrika popote walipo.

- Afrika ina 60% ya ardhi ya kilimo.

- Afrika inamiliki 90% ya hifadhi ya malighafi.

- Afrika inamiliki 40% ya hifadhi ya dhahabu duniani.

- Afrika, 33% ya hifadhi ya almasi.

- Afrika ina 80% ya hifadhi ya kimataifa ya Coltan (madini ya uzalishaji wa simu na elektroniki), haswa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

- Afrika ina 60% ya hifadhi ya cobalt duniani (madini ya utengenezaji wa betri za gari).

- Afrika ina utajiri mkubwa wa mafuta na gesi asilia.

- Afrika (Namibia) ina ukanda wa pwani wa samaki tajiri zaidi duniani.

- Afrika ina utajiri wa manganese, chuma na kuni.

- Afrika ni mara tatu ya eneo la China, mara tatu eneo la Ulaya, mara tatu ya Marekani ya Marekani.

- Afrika ina km2 milioni thelathini na nusu (30 875 415 km2).

- Afrika ina wakazi bilioni 1,3 (China ina wakazi bilioni 1,4 katika 9,6 milioni km2).

Maana yake Afrika IMEHUSIKA.

- Ardhi ya kilimo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina uwezo wa kulisha Afrika yote.
Na ardhi yote ya Afrika kwa kilimo ni kamba ya kulisha dunia nzima.

- Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina mito muhimu inayoweza kumulika Afrika.
Tatizo ni kwamba baadhi ya watu wameiyumbisha DRC kwa miongo kadhaa.

- Afrika ni bara la utamaduni tofauti katika masuala ya ngoma, muziki, usanifu, uchongaji, nk.

- Afrika inachukua mapishi ya dawa na mimea 30.000 ambayo Magharibi hurekebisha katika maabara zake.

- Afrika ina idadi ya vijana duniani ambayo inapaswa kufikia bilioni 2,5 kufikia mwaka wa 2050.

● AFRIKA INAWAKILISHA FUTURE YA WANADAMU

Tunahitaji nini ili kutumia rasilimali zetu kwa ufanisi?

Imeazimwa kutoka kwa Joseph Idih(LinkedIn).
Sasa kama africa imebarikiwa vyote hvyo..kuliko wenzetu..na bado ni maskini kuliko wote huon ni aibu hii..
 
Back
Top Bottom