Hiki kiwanda kilikosa mwekezaji??

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Kama una Pesa njoo uwekeze
 

Attachments

  • 1442084173692.jpg
    37.4 KB · Views: 632
Kama una Pesa njoo uwekeze

Ahahahahaaa dah umenikumbusha miaka ya nyuma nilkwenda kuonyeshwa wanavyopika ile kuingia tu Yale yanayochemshwa yakachemka kwa nguvu hadi yakachanganyika na gongo yenyewe utengenezaji ilikuwa tofauti na huo mtambo, nilitimuliwa na kuambiwa ati Nina kichwa kibaya Bahati nzuri sikuwaomba wanionyeshe baada ya kuwaambia siijui ndio wanipeka humo wao wenyewe
 
But am sure huwezi pata kipindupindu kwa kunywa pombe hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…