mitindo huru JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 1,610 Reaction score 1,602 Oct 4, 2017 #1 Nimeikuta sehemu hii kitu, gari tofauti za aina moja kuwa na namba za usajili ( plate number) zinazofanana. Je hii kitu ina maana gani? Attachments FB_IMG_1507144381390.jpg 26.4 KB · Views: 33 FB_IMG_1507144375817.jpg 27.5 KB · Views: 27 FB_IMG_1507144364821.jpg 11.1 KB · Views: 50
Nimeikuta sehemu hii kitu, gari tofauti za aina moja kuwa na namba za usajili ( plate number) zinazofanana. Je hii kitu ina maana gani?
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Oct 4, 2017 #2 Haya maajabu sasa
mitindo huru JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 1,610 Reaction score 1,602 Oct 4, 2017 Thread starter #3 Sio maajabu, kuna kitu naona hakiko sawa hapo, au kuna kitu kinajaribu kufichwa, Ila najaribu tu kuwaza kwa sauti. Wataalam wa haya mambo mkuje huku
Sio maajabu, kuna kitu naona hakiko sawa hapo, au kuna kitu kinajaribu kufichwa, Ila najaribu tu kuwaza kwa sauti. Wataalam wa haya mambo mkuje huku
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,506 Reaction score 2,747 Oct 4, 2017 #4 Wanakumbuka kukusanya kodi tu, hayo mengine ya plate number hayawahusu
kishaija JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,049 Reaction score 1,205 Oct 4, 2017 #5 mitindo huru said: Sio maajabu, kuna kitu naona hakiko sawa hapo, au kuna kitu kinajaribu kufichwa, Ila najaribu tu kuwaza kwa sauti. Wataalam wa haya mambo mkuje huku Click to expand... Haya,tunakuja!
mitindo huru said: Sio maajabu, kuna kitu naona hakiko sawa hapo, au kuna kitu kinajaribu kufichwa, Ila najaribu tu kuwaza kwa sauti. Wataalam wa haya mambo mkuje huku Click to expand... Haya,tunakuja!
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,896 Oct 4, 2017 #6 Ukichunguza sana utakuta ni gari za wanachama watiifu na za kufanya kazi maalum kwa watu maalum...wewe usiye mtiifu jaribu hivyo uone kama hujapopolewa kile ulichonacho nwisho uishie kumiliki bodaboda tena sio boxer Sun Lg mchina.
Ukichunguza sana utakuta ni gari za wanachama watiifu na za kufanya kazi maalum kwa watu maalum...wewe usiye mtiifu jaribu hivyo uone kama hujapopolewa kile ulichonacho nwisho uishie kumiliki bodaboda tena sio boxer Sun Lg mchina.
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 5,316 Reaction score 11,004 Oct 4, 2017 #7 wasiojulikana na gari zao
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,095 Reaction score 39,619 Oct 4, 2017 #8 mbaya zaidi ni gari za jina moja,kama kuna mchezo mbaya unafanyika. ingekuwa tipa na passo ingeeleweka kiasi.
mbaya zaidi ni gari za jina moja,kama kuna mchezo mbaya unafanyika. ingekuwa tipa na passo ingeeleweka kiasi.