Hiki kisa kilinifanya nimchukie Nape na nilikuwa tayari kuwapiga ngumi Usalama wa Taifa

Hata akitumbuliwa mwingine mtaleta simulizi zake
Haya leteni za januari sasa
Ila huyo barmaid alistahili hilo kofi, na kichwa juu
Halafu mleta mada ungekuja kujichanganya kwangu kujifanya unanunua ugomvi, ningekudhalilisha, hiyo bar usingekanyaga maisha yako
 
Hii ni chai sema haina sukari mtoa anatuambia eti mabaamedi kila mmoja anagari uongo mtupu
 
Hiyo itakuwa ni maliasili ila siyo bar za Tanganyika hii wahudumu wanategemea pumbu kuishi
Wewe si unaenda bar za bia buku jero. Kuna sehemu hiyo bia unayonunua buku jero inauzwa buku sita. Na mtu anaondoka na tip zaidi ya elfu 20.

Wewe salary yako unayoiamkia saa kumi na moja alfajiri na kurudi nyumbani saa kumi na mbili jioni unakuta ni kama elfu 30 kwa siku.
 
Watanzania punguzeni ujinga bhaana. Kinachokufanya uamini hao aliokuwa nao Nape ni usalama ni nini!?? Yaani usalama aende kumlinda katibu mwenezi wa ccm tena bar!?? Hao ni vijana tu wa mjini ni wapambe tu aliokuwa anatembea nao. Hata katibu mkuu mwenyewe hawezi kulindwa na usalama.

Tatizo hii nchi wajinga mmekuwa wengi sana ndo maana kila mtu siku hizi anawajua usalama. Katibu mwenezi wa ccm hawezi kulindwa na usalama hata iweje isipokuwa yeye katibu mwenezi mwenyewe anaweza kuchomekwa na idara na ccm wenyewe hawatajua.
 
Wewe si unaenda bar za bia buku jero. Kuna sehemu hiyo bia unayonunua buku jero inauzwa buku sita. Na mtu anaondoka na tip zaidi ya elfu 20.

Wewe salary yako unayoiamkia saa kumi na moja alfajiri na kurudi nyumbani saa kumi na mbili jioni unakuta ni kama elfu 30 kwa siku.
Kuna wahudumu wanaondoka na tip elfu 60
 
Ipo siku ntaelezea jinsi ambavyo nilitaka kumpiga makonda kwenzi ila usalama akanizuia,hiv wew msomaji wangu wajua hapa Tanzania kuna wakati usalama wa taifa walijua kuwa kazi yao ni kuwalinda wanaccm tu hasa viongozi

Ukumbuke kuni tagi mkuu
 
Hadithi yako imeharibiwa na uongo wa ma barmaid kuwa na magari
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom