DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Msaada wadau natumia laptop yenye Windows 8.1 pro mwanzoni nilikua napata antvirus yenye serial keys ( AVG) ambayo Ilikua strong sana. Lakini hivi sasa wameficha keys zake hivyo napata ya mwezi tu..
Tatizo lililonikumba ni kwamba apps zangu zote ambazo sijaziinstall zimekuwa 0KB na ambazo nimeinstall kila ukifungua inaandika "WINDOWS CAN'T OPEN THIS APP"
Hapa naona mambo yameniendea kombo kabisa msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app